Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,353
- 38,561
Kutajwa kote huku kwa Mkuu wa MKoa wa Dar es salaam hajafikia viwango cha kuwa Celebrity? Maana hata kwa sisi wa mikoa ya huku upenuni tunafuatilia kinachojiri huko Dar es salaam kuhusu Makonda. Huyu jamaa kwa sasa ni zaidi ya kina Diamond na Ali kiba!!