warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Mafahali wawili ndani ya kiwanda cha muziki wa hip hop bongo, namzunguzia dogo janja na young killer msodoki, hivi karibuni wameingia kwenye vita ya maneno mitandaoni kisa kikidaiwa kuwa ni gari mpya alilonunuliwa dogo janja na made.
Story iko hivi, siku kadhaa zilizopita dogo janja alipost Kwenye mtandao wa kijamii kuwa aliibiwa taa zote kwenye gari lake dogo aina ya PORTE rangi nyekundu na kumtaka mh makonda kuingilia kati sakata la wizi kuwa limekithiri sana, hata hivyo baada ya siku chache kupita staa huyo mwenye ngoma ya KIDEBE aliibuka na ndinga nyingine mpya aina ya Toyota raum rangi ile ile nyekundu na kumshukuru madee kwa kumnunulia gari jipya, hata hivyo wengi walimpongeza ila msanii mwenizie young killer alionyesha kuona wivu na kumtupia povu dogo janja kuwa a post na kadi ya gari kama kweli gari ni yake, dogo janja alifanya hivyo kumkata ulimi staa huyo