Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Zari kama mwenyewe anavyojiita bosslady wiki aliopita alisaini mkataba wa kuwa Brand ambassador wa GSM mall zilizopo Pugu na Msasani.
Tayari ameshafanya tangazo bado kutoka tu, pia jana alikuwa Pugu mall kutimiza majukumu take
FB_IMG_1487505356174.jpg

Cha kujiuliza Bongo tuna celebrities wa kike kibao kuanzia Wema sepetu mwenye wafuasi kibao, jokate, Kajala, Shilole, Wolper, Uwoya, Vanessa mdee, na wengine kibao, Hawa nawakosa mini kupata madeal ya maana kama haya? MTU katoka Uganda kapata deal
Tatizo ni mini hapa?
 
Utampatiaje uambassador mtu kila siku anavujisha mapicha ya ngono mitandaoni!
Halafu angalia mfano yule dada aliyefanya video na diamond marry you alivyokuwa anapost kila siku kwenye page yake, angalau anaonyesha anathamini kazi yake!

Sasa hawa jitu likipewa pesa basi ndio linaondoka mazima!
Kifupi hawajui kumfanya mtu atamani kufanya nao kazi

Wanajua tu kuzifanyia brand papuchi zao tu,huko hakuna anayewafikia
 
Gigi money na Amber lulu
 
Hahahaha jinsi gani watz tulinavyojua kuahobokea wageni tu. Huyo zari anamapicha kibao ya ngono tena cyo ya nchi hii
 
Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:

1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii

2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...

3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhani akipata fursa zaidi atazitumia bala bala...
 
Back
Top Bottom