Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mwanamuki kutokea hukooo mji kasoro bahari, Dayna Nyange alizua gumzo na vipicha vya nusu uchi anavyotupiaga mtandaoni ila alipoulizwa na mtangazaji wa EATV alidai picha hizo zinamsaidia sana kimuziki kwa kuwa mashabiki wanapenda kuona vitu hivyo
Pia alipoulizwa Kalah Jeremiah ambaye alikuwa mtu wake wakaribu anamchukuliaje mwanamuziki huyo alidai hamjui msanii huyo na watangazaji waache kumpa kiki
Pia alipoulizwa Kalah Jeremiah ambaye alikuwa mtu wake wakaribu anamchukuliaje mwanamuziki huyo alidai hamjui msanii huyo na watangazaji waache kumpa kiki