Kipo kipaji kimoja kikongwe sana cha r n b kinaitwa Nuruel. Huyu jamaa ni mwanamuziki kweli. Ni zaidi ya Raymond. Alitoka na 'mng'aro wa silver. Akaja na kilio. Akaja kuimba na b band wimbo wa...
Nimeshangaa katika pitapita zangu instagram kukuta Mange Kimambi kafuta post zake zote za kukashifu wengine, kampain choma kadi ya CCM etc. Nilichokikuta na posts za yeye na Familia yake tu.
Huyu...
Hii Picha imeniaminisha kwamba lulu ameachana na majizo maana sio kwa kukonda huko.[emoji116] [emoji116]
Check hii Picha akiwa na majizo[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kumbe pesa sabuni ya...
Ni takribani miezi sita sijamsikia huyu jamaa aliyejizolea umaarufu kutoka kwa wake zetu akiaminika aliweza kuwasaidia wamama kupata matumaini yao yaliyopotea kufuatia kukosa nguvu za kike na...
MUZIKI unachukua sehemu kubwa ya maisha yetu ya kila siku, umekuwa ukitupa faraja pale tunapoonekana kukata tamaa, ukitajiririsha ile furaha tuliyonayo katika nafsi zetu na kuturejeshea kumbukumbu...
Wakuu, Leo katika pitapita zangu huko you tube nimekutana na video ya msanii Rama dee inaitwa - Kipenda roho
Aisee ni bonge moja ya rnb song
Kinacho nishangaza ni kwanini haikupewa na mpaka sasa...
Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema...
wakuu mkipitia katika page za timu ya KRC-GENK, ya belgium anakocheza mtanzania mwenzetu mbwana samatta,, utakuta wabongo wamezifollow page za facebook na instagram za hiyo timu,sasa kimbembe...
Leo katika kipindi cha XXL segment ya "you heard" Hakukuwa na uwepo wa Kiongozi wa Shilawadu Sood Brown
Inasemekana wamepewa Likizo wote yeye na Kwisa baada ya sakata hili la Makondakta
Poleni...
Watu maarufu /mashuhuri wengi wanakuwaga na majina ya kipekee au hadimu yani unakuta hilo jina analo yeye tu na ukoo wake .
Mfano:
1.Nyerere
2.JW Bush
3.Osama
4.Gadaff
5.Lowassa
6.Kikwete
7.Mkapa...
Kapost muda huu kwenye page yake Instagram
Jamani Gwajima keshatoa warning,kesho kinanuka, last week alisema kafunga mjadala unless achokozwe apige double manifestation sasa naona Bashite...
Hatimae muda umewadia wa kumjua baba halisi wa mtoto wa Frola Mbasha
Baadhi ya matukio ya nyuma ..........
>>> MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA
http://youtu.be/fUAGeSf63Ps
>>>BABA...
Mwimbaji Emmanuel Mbasha anadai Flora alimfungulia kesi mahakamani mara tatu akataka ampe talaka lakini Mbasha akamshinda kwenye kesi hizo lakini Flora akaendele kufungua tu kesi kwenye mahakama...
Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari.
Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa...
Msanii wa kizazi kipya mwenye rekodi ya kupatwa na misuko suko ya madwa ya kulevya amepata nafuu na sasa ameingia studio kutoa ngoma aliyomshirikisha Mr Blue na Matonya kabla ya kuumwa, na sasa...