Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jamaa yupo serious na kazi, Yani kazi juu ya kazi ile Nganganga! Sasa leo asubuhi ameyabariki masikio yetu kwa kuachia dude flani la kubengika, Dah Sijui ndio kipya kinyemi au vipi ila kwa upande...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Sitandika maneno mengi ila kauli yake rado ya kusema "WASOMI INCHI HII HAWANA MCHANGO WOWOTE WASONI NDIO WANATUCHELEWESHA " kiukweli mdogo wangu umechemka na hiyo kauli tu ndio imeonyesha jinsi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Diamond ni msanii mdogo sana afrika na duniani. Ila ni mkubwa tanzania. Mwaka jana alitudanganya anashow uk na neyo akatupa na ratiba kumbe ilikuwa kiki. Acha kiki hizo Pia ameleta pafyumu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimepata muda wa kuangalia TVE Kituo cha Television kinachomilikiwa na Majizzo kwa muda sasa lakini hawapigi kabisa video (Nyimbo za WCB) Je kuna nini nyuma ya holidays Kituo hiki kina top 30 kila...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Kwa nn Steve Nyerere hakwenda kwenye Maandamano ya Wasanii wa Bongo Movie? Kwenye page ya Mange nimemuona Steve mapovu yanamtoka anapinga utaratibu huo uliotumiwa na Makonda na Wasanii wenzake wa...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Huyu dada yuko vizur ni bonge la kamanda anafanya kampeni ki stadi sana mbunifu, ana msimamo dah nimemkubali...sio lazima na ww umkubal ila mm nimemuelewan..big up sana Jackline!
5 Reactions
30 Replies
9K Views
Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB...
18 Reactions
106 Replies
25K Views
Vanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia...
13 Reactions
191 Replies
51K Views
Mwenye macho haambiwi tazama, kwakweli mmewazingua sana mafans wenu waaminifu. Kuanzia video Ya MUGACHERERE, KIJUSO, SHOW ME, mpaka video ya KARORERO. Hizo video hata ambaye hana utaalamu wa...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Bongo movie nadhani mnajifanya hamjui mchawi wenu ni nyinyi wenyewe na hamjiulizi kwanini siku hizi bongo fleva inafunika nyimbo za magharibi maeneo ya starehe na kitaa kijumla. Mbali na hayo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Poll Poll
CHEMICAL ROSA REE Hawa wadada nafkiri wameshatambulika vyema. Nani mkali!? -------- Kuna Poll hapo Juu. Tafadhali Piga Kura yako.
2 Reactions
45 Replies
11K Views
Nampenda sana Babbie Kabae mtangazaji wa Clouds Tv, kutokana na upeo wake mkubwa wa kufikiri, kujibu hoja na kuwa mbunifu. Hivi how old is she? Kasomea chuo wapi? (i heard ni mkenya but am not...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Mimi nikiwa kama mdau wa muziki hapa nchini, nakushauri upunguze matumizi ya headband(mwenyewe unaiita Ribon). Serious inakupotezea muonekano na inakuwa kero sana kwa wanaokutazama. Too much is...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Wafunge na TV stations zoote tubaki CD player, sinunui bongo movie. Wajiulize mbona hatulazimishwi kununu au kusikiliza bongo flavor? Kwasababu wanashindana sambamba na soko. Kizuri chajiuza!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani kwa wapenzi wa nyimbo za injili jina la Timothy Ngw'inamila si geni masikioni mwao. Huyu mtu alikuwa maarufu sana kwa utunzi na uimbaji wa nyimbo za injili hadi miaka ya 90. Hivi sasa...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake ktk kuigiza, amewaasa wabongo...
3 Reactions
68 Replies
9K Views
Sifa kuu Zake. Anajihwshimu sana Ajawai kuchuja kiwango Baba mnaigeria mama muingereza Hana kashfa za ngono Vibao vitamu vya.taboo Nk. Karibu
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo nimeyaangalia maandamano ya wasanii Wa mbogo nikasikitika sana..yaani Ina maana wasanii Wa bongo movie hawajui ni kwa nini movie zao haziuzi au kuna agenda nyuma ya hii movement yako.. Mimi...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Wasalaam wanajamvi. Mimi ni mmoja wa mashabiki wa Harmonize na toka anatoa wimbo wa kwanza kwakweli alionesha ni wazi ana kipaji cha ajabu sana pamoja na kusikika kama Diamond,Mimi ni mmoja wa...
9 Reactions
71 Replies
8K Views
Back
Top Bottom