shibumi
Senior Member
- Dec 14, 2016
- 125
- 205
Leo nimeyaangalia maandamano ya wasanii Wa mbogo nikasikitika sana..yaani Ina maana wasanii Wa bongo movie hawajui ni kwa nini movie zao haziuzi au kuna agenda nyuma ya hii movement yako..
Mimi binafsi ni mpenzi sana Wa filamu tokea miaka ya tisini enzi za vibanda umiza .enzi hizo hatujua bongo movie ni nini nilitokea penda filamu za nje..Miaka ya mwisho na mwanzo wao 2000 tukaona wimbi kubwa la filamu za kinaigeria..ila mnamo mwaka Wa 2003 bingo movie ndio ikaamshwa rasmi na filamu ya girlfriend, na baada ya hapo filamu za kinaigeria zikapote..
Ila wasijidanganye kwamba walizipoteza filamu za nigeria sababu ya ubora Wa filamu zao
Lasha Bali watu waliamua waunga mkono na baadhi walivutiwa na mbinu zao chafu za kuuza filamu kwa skendo..yaani ilikuwa lazima magazeti ya shigongo yatoke na skendo kisha ndio filamu itoke. Unaweza inunua kwa kuvutiwa na controversies za filamu husika ila ukienda kuangalia filamu unajutia muda wako ulioupoteza..
Watu wakawachoka wakaamua kuacha kununua filamu zenu .,na naomba niwakumbushe kwamba kwa kipindi chote hicho watu hatukuacha nunua filamu za nje..hivi nitaanzaje acha angalia pirates of the carribean nikacheki huu utumbo wao?!
Watu hawajui kuigiza.,mnapeana nadasi kwenye nyumbani za wageni au ukiwa na skendo nyingi basi wewe unaingia bongo movie..kila mwigizaji akitoa movie mbili tatu anaanzisha kampuni.
Yaani huwa nashangaa maana hadi hii Leo hata ile technology ya kuzuia sauti zisizohitajika hatujui..yaani unaangalia filamu unakutana na makosa ya kipuuzi kabisa alafu unataka Mimi niliyelelewa na filamu za nje ninunue zenu?
Wacha niwasaidie bongo movie labda mnaweza chukua mawili matatu yakawasaidia..
Iombeni serikali iwekeze kwenye majumba ya sinema..na ishawishi wafanyabiashara kuingia kwenye hii biashara..duniani kote biashara ya filamu inafanyika kwenye kumbi za cinema..kukiwa na kumbi z sinema za kutosha mtakuwa na uhakika Wa solo bila ya hofu ya filamu zenu kudurifiwa..soko likiwa la uhakika hapo mtaona wadau wako tayari kuweka fedha zao huko mkaanza tengeneza hata filamu za billions + ..mkianza na hili Nina uhakika haya mengine yatakuja kirahisi..