Steve Nyerere - Kwamara ya kwanza nimemuelewa huyu dogo.

Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,039
659
Wafunge na TV stations zoote tubaki CD player, sinunui bongo movie. Wajiulize mbona hatulazimishwi kununu au kusikiliza bongo flavor? Kwasababu wanashindana sambamba na soko. Kizuri chajiuza!
 

Attachments

  • 568cbff858d27a52c9858b74fa6d47c0.mp4
    5.1 MB · Views: 17
Kweli bashite ana damu ya kunguni, kila akijaribu kutafuta kiki inatema, kweli huyu jamaa ni kilaza wa mwendo kasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom