Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wazima wakuu. Binti huyu anaitaji kura yako ili aweze kushinda katika shindalo la "college Top model competition". Na kuibuka kuwa Mshindi katika shindano hilo. Jina: Janeth Phocus Contestant #...
0 Reactions
68 Replies
9K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Sisi watanzania tunafahamika kwa ukarimu na roho nzuri, upendo na kusaidiana, tabia ambayo mwalimu alitufundisha. Lakini pia sisi ni watu wabaya sana kama mtu...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
Sanchoka azidi kubreak internet kwa kutupia vitu hivi mtandaoni. Katawala kote kitu ambacho kimefanya yeye kuwa gumzo na kuwafunika wote Vera Sidika na Huddah Monroe. Sasa hivi anafanya kazi zake...
4 Reactions
94 Replies
47K Views
Kwa mimi naona Mr. Bean ndo bora zaidi, ukitazama movie zake kibao alizoigiza lazima uvunjike mbavu kwa zile mbwembwe zake za vichekesho.... Wengine sijui mnasemaje katika hili?
5 Reactions
138 Replies
17K Views
Habar zenu wanajamv Natumaini wote ni wazima Wa afya Imepita mda mrefu sana sijamsikia Dada angu kipenz rose muhando muimbaji Wa nyimbo za dini Je ni wap alipo Ni kipi kimemkuta? Asanteni Ifa96
2 Reactions
18 Replies
12K Views
Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela amemtusi rapa Nay wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii wa filamu nchini. Yusuph Mlela...
5 Reactions
154 Replies
69K Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ray ametoa ujumbe ambao unalenga kutoa uelewa kwa mashabiki hasa wa filamu na muziki nchini ambao wamekuwa wakiponda juhudi za mastaa wa Kitanzania Huku akitolea...
8 Reactions
77 Replies
12K Views
Kama ulikuwa hujui, hawa jamaa wa Tamaduni Music wanakubalika sana nchini Kenya. Hiphop yao inaeleweka sana. Kuanzia Nikki Mbishi, One The Incredible, Songa, Stereo, P The Mc, Maalim Nash na...
5 Reactions
132 Replies
22K Views
Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Madame Flora (Flora Mbasha zamani), Jumapili ya wiki ijayo anatarajia kufunga ndoa na mume wake mtarajiwa Daudi Kusekwa katika bustani za hoteli ya Rock Beach...
5 Reactions
354 Replies
49K Views
Lord Eyes: weusi ni wabinafsi http://www.muungwana.co.tz/2017/04/lord-eyes-weusi-ni-wabinafsi.html
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Amesema wasanii hao wanatoa movie nyingi ndani ya muda mfupi kinachopelekea zikose Quality
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku chache baada ya staa mwimbaji Diamond Platnumz kuzindua Perfume yake mpya “Chibu Perfume” na kuonesha kupokelewa kwa nguvu kubwa nchini Tanzania, Naibu Waziri wa Afya, Hamis Kigwangalla...
3 Reactions
68 Replies
11K Views
Mastaa wakongwe nchini, Nuru Nassoro, maarufu kama Norah, pamoja na staa mwenzie blandina chagula (Johari) sasa hivi mambo yamekua shwari baada ya bifu la muda mrefu kati yao. Chanzo cha bifu...
3 Reactions
47 Replies
9K Views
Kwa Mara ya kwanza nilianza kufahamu Steve NYERERE katika kampeni za CCM miaka nyuma akigiza sauti ya NYERERE miaka ya 2000. Lakini katika kwa sasa hivi namekuwa nikimsikia issue yoyote...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Asema wale wote waloenda kushiriki mgomo ni matahira Afananisha kugoma kwao na wasanii wa muziki kugoma nyimbo za kina drake zisipigwe. Msikize hapo juu
9 Reactions
61 Replies
10K Views
ORGANISERS of all Africa Music Awards (AFRIMA)have announced that events leading up to ceremony will start on 2 May.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
JB amedai hamfahamu mwanamuziki huyo na wala hasikilizagi bongo fleva, ila kwa kauli yake hiyo amesema anampenda sana japo amemdiss, Yeye pamoja na kusema hasikilizi Bongo Flevaila hawachukii...
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Ni swala ambalo linanitatiza sana,nlichofundishwa shuleni na ninachojua ni kwamba these stars are supposed to be an example to the society..lakini wamekua wakionyesha vitu tofauti sana,wao ndo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
JB afunguka aeleza sababu ya mgomo sio kufungia Movie za nje, bali ni kutaka walipe vibali na kodi kama wao. Akiri kwambamovi za njeni bora kuliko zao. afananisha movie hizo mbili na bia ya safari...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa You Tube hizi ndio nyimbo maarufu Tanzania. YOU TUBE.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom