Wema Sepetu aapa kuirudisha bongoMovies ktk ubora wake km zaman

youngdonats18

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
685
443
Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya
Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake ktk kuigiza, amewaasa wabongo kuwapa ushirikiano wa dhati kabisa
fef7671df86aed1e34bed52713c903ef.jpg

Katika hili yatupasa kuonesha mapenzi ya, dhati kwa princess wetu
3088bca6941bcb170bcae3d8ff375a49.jpg

4817f720bc48f6a90ed70f767aa93352.jpg
 
bongo movie ishapoteza mvuto zamaaani maana siku hizi hata vihindi vilivyowekewa maneno ya kiswahili vinaipita kwa kuangaliwa hata na mahouse girl sembuse kuzipiku movie za kikorea au movie nyingine za wazungu ni ndoto.
 
Aanzie kwenye hii script ninayoambatanisha hapa chini, lazima imtoe

Wadau nimebaki kinywa wazi kwa kushikwa na bumbuwazi niliyopigwa baada ya mkuu ZittoKabwe kudai kuwa kila wanaopanga kumteka au (kupita nae) kukumbana na kizingiti kizito mbele yake na hivyo kushindwa kutimiza hazma yao,
anadai kila wakifika kwake wanaambulia bila bila , maana mara nyingi wakienda kumsaka , hujikuta wameambulia kukutana na Mti wa Mrumba au Bwawa la Karosho (sio korosho ) au mara nyingine jamaa hao huambulia kukutana na ziwa Tanganyika mbele yao ,na kama hawaamini maneno yake basi wathubutu kuingia anga zake waone mziki wake.
na hiyo inatokana na yeye kama mwana Kigoma wa mwisho wa reli kuwa amekamilika katika idara zote za ufundi (wa anga, majini na nchi kavu) , hali hiyo imepelekea hao jamaa ambao ni wabaya wake kuwa wakipata tabu sana kumkamata kila wakipanga mission yao.
Sasa je, anataka kutuaminisha kuwa alitumia mbinu hizo pia kipindi kile alichodai kulala bungeni wakati alipolalama kuwa (kuna watu) walimsaka ili tu waondoke nae kaajili ya mahojiano..??
Je , kwa mwanasiasa kijana , msomi na nguli kama Zitto anatoa picha gani kwa wale walio nyuma yake au wanaomwamini...?? Maana anaonekana anaamini katika njia mbadala katika kupata uhakika wa ulinzi wake.
Hapo ndipo ninapoona kumbe ile kauli yake ya kusema atayediriki ku deal na yeye basi atapukutka kama ukoo wa panya.
Kwa habari zaid tafuta chanzo cha gazeti la Mwananchi la tarehe 15 April 2017 ,kwani wao wamefafanua kwa kina habari hii.
 
jamani kesi ni mbaya, juzi nimemwona kachakaa sana, halafu anaongea kama kachanganyikiwa, pia ilionekana alikuwa kwenye ulinzi mkali sijui yuko under house arrest? hata mamake waliagana kijuu juu tu halafu hakuna hata gazeti lililo andika habari zake. Pia nimeona kaka ritz akimpondea.
Usipende sana kusikia, mana haya yote umeyasikia sijui tuamini kip sasa?!!
 
Ukisupport upinzani Tanzania ni hatari kuliko kutembelea Islamic State. Kule Bongo Movie sasa hivi wanamuona na adui wao mkubwa.
 
Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya
Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake ktk kuigiza, amewaasa wabongo kuwapa ushirikiano wa dhati kabisa
fef7671df86aed1e34bed52713c903ef.jpg

Katika hili yatupasa kuonesha mapenzi ya, dhati kwa princess wetu
3088bca6941bcb170bcae3d8ff375a49.jpg

4817f720bc48f6a90ed70f767aa93352.jpg

Hivi Wema anapotumia kauli ya kijinga kama hii anakuwa anamaanisha nini? She's not even a good actress, yaani katika watu wasiojuwa ku-act she's one of the leaders, sasa anataka rudisha Bongo Movie to what level? Kama ana washauri, basi wamwambie aendelee tu kuwa mtu wa vituko ila ku-act aache tu au labda awe ana-act porn movies maana zile you don't need to be an actress mwenye talent, unafungua tu miguu na kupokea dushe.
 
Huwa unaact porn movies?
 
But she is an actress

NOT a good actress yaani ni kama mtu kawekwa tu. Ku-act ni kazi ya watu si lelemama kama wafanyavyo wasanii wa kwetu na huyu dada yako. Wema hajuwi ku-axt hata kidogo. Huyu yuko katika lile kundi la wasanii mizigo ambao wanajulikana ndani ya Bongo muvi.
 
Back
Top Bottom