Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari wanaJukwaa, Huku baadhi ya wanaoitwa Maselebriti wakitakiwa kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa leo kwa tuhuma za kuuza na kutumia Ngada, basi ni vyema tukawasindikiza kwa Kichupa kikali kutoka...
14 Reactions
139 Replies
14K Views
Dili la Tekno na kampuni ya Sony Music inawafanya wanaijeria wengi kuamini kwamba Tekno ameiuza nafsi yake kwa shetani kwa kusaini mkataba huo.(The deal means Tekno has sold his soul to the devil)...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Kupitia mitandao kadhaa ya kijamii na uthibitisho wa picha kupitia account ya IG ya bwana harusi Petit man wakuache imethibitika kuwa wawili wamefunga ndoa siku ya leo. Esma Platnum ambae ni dada...
3 Reactions
65 Replies
18K Views
Wema Sepetu amezindua rasmi app yake, WS, kwenye jukwaa la app la simu za Android, Google Playstore. App yake inapatikana bure kabisa. Ukishainstall, itakuomba usign-up kwa kutumia akaunti yako ya...
11 Reactions
90 Replies
10K Views
Hivi wasanii tanzania wana chama chao?Kama kipo kitoke na tamko juu ya tuhuma hizi za madawa.Hii ni kashifa kubwa.Mnaweza kuona ni swala la Wema na wenzake lakini swala hili linaharibu na kuchafua...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Beyoncé just made a major announcement! Here it is: Beyoncé is pregnant … with twins! The singer delivered the news on Instagram with a stunning photo of herself with her hands on her baby...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Dah!! this is the ray c we used to know, safi sana, umekua zaidi ya mcharo, nasikia unataka kurudi kwenye bongo fleva ila nina ushauri before hujarudi ungejisalimisha mwenyewe kituoni ukawataje...
5 Reactions
21 Replies
6K Views
  • Redirect
Tangu Msanii Harmorapa ameingia kwenye muziki kwa kuanza kujifafanisha na msanii Harmonize, kila wakati rapa huyo amekuwa akiingia kwenye 'headline' mbalimbali na kuzungumziwa na wasanii wengi...
12 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mi najiuliza tu, kwanini Mkuu wa Mkoa wa Dar hajawataja Wasafi katika orodha ya wasanii wanaotumia na kusafirisha madawa ya kulevya? Au tusubirie hadi Jumatatu pengine atawaunganisha kama...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
If you know what i mean..... Fuatilia hizo dots then plus safari za China na South lazima uta doubt tu its the matter of time utasikia na yeye anaitwa central katika hii vita fake ya madawa ya...
3 Reactions
Replies
Views
Kwanza kabisa naomba mnisamehe kwa wale nitakaowakera ... Mimi ní mfuatiliaji mzuri wa celebrities forum ila kuna jambo najiuliza alafu sipati Jibu.Kuna baadhi ya watu hatuwajui hata majina...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Harmo Rapper yule msanii anayejifananisha na Harmonize yadaiwa alimnyanganya Demu presenta na DJ aitwae Msabato na jamaa huyo ameenda studio za EA radio kulalamika na kusema alimnunulia kila kitu...
0 Reactions
56 Replies
11K Views
Kaandika kupitia ukurasa wake wa facebook [emoji116] [emoji116] [emoji116] "Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio 'Matango Pori'kama...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Lahaulaaaaa!!!!....Namkubali sana Babu yangu Ze King of all social network,Le Mutuz Nation,yeye hana shida na mtu...iwe mmeonana uso kwa uso au umemuona just mtandaoni tu...mtu Wa amani...
9 Reactions
148 Replies
16K Views
VIOJA VYA DADA YETU VINAENDELEA WEMA AMZABA MAKOFI MENEJA WA HOTELI DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe,Dar es Salaam...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Wema Sepetu anataka kuweka jambo moja ‘very clear’ kuwa yeye si mtumiaji wa madawa ya kulevya. Staa huyo ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwenye orodha ya mastaa wanaotuhumiwa kubwia unga na...
4 Reactions
65 Replies
9K Views
  • Redirect
Kama alivyomriwa na Mkuu wa Mkoa jana kuhusu kuhudhuria kituo cha polisi na kujibu tuhuma zinazomkabili staa huyo za kutumia madawa ya kulevya, mrembo huyo mwenye nyota na mvuto wa aina yake...
6 Reactions
Replies
Views
Nimeshangaa sana,kumbe leo ni siku ya kuzaliwa Kalapina, nabii Koko, Kikosi cha mizinga, mwanaharakati, hiphop bila madawa, 'mbunge' wa Kinondoni, asiyehusika na shoo ashuke, block 41, mbabe n.k...
3 Reactions
35 Replies
10K Views
Muigizaji machachali wa sinema za kihindi za mapigano pamoja na mapenzi John Abraham atangaza kuwa anatarajia kuja nchini mwakani kwa ajili ya kucheza baadhi ya vipande katika movie mpya...
3 Reactions
88 Replies
19K Views
  • Redirect
Kumbee! nilikua nashangaa ujue, kila siku bata yeye, mahotel yote kamaliza , kila aina ya misosi bei mbaya mtoto yumo, nikasema hao ma sponsor wanamuona tunda tu kwani tunda analo peke yake au...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom