STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Mwenye macho haambiwi tazama,
kwakweli mmewazingua sana mafans wenu waaminifu.
Kuanzia video Ya MUGACHERERE, KIJUSO, SHOW ME, mpaka video ya KARORERO.
Hizo video hata ambaye hana utaalamu wa video za muziki basi akizitazama atagundua tu kwamba kuna makosa yamejitokeza na let me be honest, muhanga wa kwanza ni mimi.
Siwafichini video zote nilizozimention nimezifuta baada ya kuzitazama
hasahasa hii mpya ya SHOW ME ndo kabisaaaa!
Video vurugu tupu, huyo harmonize ndio katokea kama machinga wa wapi sijui,
Hii inaonyesha dhahiri kwamba hamkujipanga before, mlikurupushana tu na kuingia location na hilo suala litawacost nawaambia.
Narudia tena video ya SHOW ME mbaya mbaya mbaya mbayaaaa.