REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,611
- 9,812
Sitandika maneno mengi ila kauli yake rado ya kusema "WASOMI INCHI HII HAWANA MCHANGO WOWOTE WASONI NDIO WANATUCHELEWESHA " kiukweli mdogo wangu umechemka na hiyo kauli tu ndio imeonyesha jinsi gani tasnia yenu ni watu ambao hamjielewi
Kweli utasema wasomi hawana mchango wowote hivi hizo script nk mlitungaga nyie au miongozo yote ya filamu mlitungaga nyie eti
Kijana futa kauli yako
Kweli utasema wasomi hawana mchango wowote hivi hizo script nk mlitungaga nyie au miongozo yote ya filamu mlitungaga nyie eti
Kijana futa kauli yako