STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Jamaa yupo serious na kazi,
Yani kazi juu ya kazi ile Nganganga!
Sasa leo asubuhi ameyabariki masikio yetu kwa kuachia dude flani la kubengika, Dah Sijui ndio kipya kinyemi au vipi ila kwa upande wangu naona huu wimbo ni mzuri na kijana amejitahidi hasahasa pale track ilipowekewa mikono ya baraka na Dbanj the legend mzee wa oliver twist.
Anyway kwa ambao hamuujui wimbo unaitwa TEKNO- BE.
.
Utafute uusikilize alafu uje utoe maoni yako