Harmonize na uvaaji wa headband

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Mimi nikiwa kama mdau wa muziki hapa nchini, nakushauri
upunguze matumizi ya headband(mwenyewe unaiita Ribon).
Serious inakupotezea muonekano na inakuwa kero sana kwa wanaokutazama.
Too much is harmful hata kama unaipenda lakini jitahidi kubadilika mzee, laasivyo utachokwa mapema.!
Alafu naona mnamuonea sana Director NICK, yule jamaa upole unamponza na ndomana mnaichukulia opportunity hiyo kujichagulia vya kuvaa hatakama vinawatisha au haviwapendezi,
Anyway Ni hayo tu
NB
kwa wale wasioijua headband ni zile wanazopenda kuvaa wacheza tennis.
 
weka picha kwa faida ya wasio jua headband
 
Hivi si ana uhuru wa kuvaa anachotaka. Mashairi aimbe yeye , pua abane yeye, kuimba aimbe yeye, umaarufu apate yeye, HALAFU NYIE MUMPANGIE SWAGA ZAKE. aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah watanzania
 
Mimi nikiwa kama mdau wa muziki hapa nchini, nakushauri
upunguze matumizi ya headband(mwenyewe unaiita Ribon).
Serious inakupotezea muonekano na inakuwa kero sana kwa wanaokutazama.
Too much is harmful hata kama unaipenda lakini jitahidi kubadilika mzee, laasivyo utachokwa mapema.!
Alafu naona mnamuonea sana Director NICK, yule jamaa upole unamponza na ndomana mnaichukulia opportunity hiyo kujichagulia vya kuvaa hatakama vinawatisha au haviwapendezi,
Anyway Ni hayo tu
NB
kwa wale wasioijua headband ni zile wanazopenda kuvaa wacheza tennis.
Kuna hirizi huwa anaweka hapo...Ni juu ya PAJI LA USO...Kazi yake ni kusaidia kuleta MVUTO..

Harmonize hajakaa kispoti spoti...ni mtoto wa kusini hivyo AMEAGA...!!

FUNDI alitaka amchanje CHALE usoni akaona wengi watahoji hivyo kuacha kuvaa LUMUNDI labda asiwe mbele ya watazamaji...
 
Huo mvuto anawavutia akina nani sasa? Labda kama anamroga Naseeb
 
Kuna hirizi huwa anaweka hapo...Ni juu ya PAJI LA USO...Kazi yake ni kusaidia kuleta MVUTO..

Harmonize hajakaa kispoti spoti...ni mtoto wa kusini hivyo AMEAGA...!!

FUNDI alitaka amchanje CHALE usoni akaona wengi watahoji hivyo kuacha kuvaa LUMUNDI labda asiwe mbele ya watazamaji...
mvuto!!! mbona hafurukuti mbele ya harmorapa.
 
Back
Top Bottom