Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
Kama ulikuwa hujui, hawa jamaa wa Tamaduni Music wanakubalika sana nchini Kenya. Hiphop yao inaeleweka sana. Kuanzia Nikki Mbishi, One The Incredible, Songa, Stereo, P The Mc, Maalim Nash na wengine wengi.
Tatizo ni kuwa siwaoni wakiendelea kama wasanii wengine wa Tanzania wanavyoendelea licha ya kufanya hiphop ya ukweli. Nini kinachowakwamisha wakali hawa?
Tatizo ni kuwa siwaoni wakiendelea kama wasanii wengine wa Tanzania wanavyoendelea licha ya kufanya hiphop ya ukweli. Nini kinachowakwamisha wakali hawa?