bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Lord Eyes: weusi ni wabinafsi http://www.muungwana.co.tz/2017/04/lord-eyes-weusi-ni-wabinafsi.html
wewe vipi mbona umevimba macho hivyo? unataka kujambaUbinafsi ni wanini fanyeni kazi acheni majungi nyi wapumbavu nini
[HASHTAG]#chalii[/HASHTAG] why abuse language my friend if u have nothing to comment beta to pass silence.Ubinafsi ni wanini fanyeni kazi acheni majungi nyi wapumbavu nini
Hapana ni stim za mjaniwewe vipi mbona umevimba macho hivyo? unataka kujamba
What language am i abusing niqqa?[HASHTAG]#chalii[/HASHTAG] why abuse language my friend if u have nothing to comment beta to pass silence.
infact sio lazima ukoment u can read only sasa unamtukana lord eyes au aliyepost?hayo kayasema akihojiwa clouds fm
kama lipo unalolijua sema jamaa anadanganya ukweli ni huu... na sio lugha zisizo na Staha.
Hahawewe vipi mbona umevimba macho hivyo? unataka kujamba
Ntavaki ndio lugha gani??Ntavaki Kulikumbuka Kundi la N2N Soldier .
Ni kwamba tu hujamsoma tu jamaa, alikuwa hana nia mbaya, huo ni mstari tu ameuquote kwenye ngoma ya G Nako ft Nikki wa Pili na fundi Samwel -Bado Ngware.[HASHTAG]#chalii[/HASHTAG] why abuse language my friend if u have nothing to comment beta to pass silence.
infact sio lazima ukoment u can read only sasa unamtukana lord eyes au aliyepost?hayo kayasema akihojiwa clouds fm
kama lipo unalolijua sema jamaa anadanganya ukweli ni huu... na sio lugha zisizo na Staha.
Ma slomoo hawaelewagi, sema sijawahi kuisikia bado ngware kwenye radio haikupata air time wakati ni hit song na watu wengi hawaijuiNi kwamba tu hujamsoma tu jamaa, alikuwa hana nia mbaya, huo ni mstari tu ameuquote kwenye ngoma ya G Nako ft Nikki wa Pili na fundi Samwel -Bado Ngware.
Ishu ya Eyes kidogo inahitaji busara sana, licha ya mchango wake mkubwa kwenye kundi la Weusi wakati wanaanza, ila jamaa kiukweli hasomeki, labda kama ameacha yale mambo yake man, amefanya matukio mengi sana ya ajabu ajabu, wakichofanya Weusi ilikuwa ni sahihi sababu alikuwa anaharibu kitu walichokuwa wameshakisimamisha tayar.
Ila kama amejirudi na anaonekana yupo poa kama zamani enzi zake za N2N apewe nafasi, hiv karibuni nimeona kama amebadilika kidogo, sasa sijui ndio amejifunza au bado kayaficha makucha.
asante kwa kunielewesha mkuu...Ni kwamba tu hujamsoma tu jamaa, alikuwa hana nia mbaya, huo ni mstari tu ameuquote kwenye ngoma ya G Nako ft Nikki wa Pili na fundi Samwel -Bado Ngware.
Ishu ya Eyes kidogo inahitaji busara sana, licha ya mchango wake mkubwa kwenye kundi la Weusi wakati wanaanza, ila jamaa kiukweli hasomeki, labda kama ameacha yale mambo yake man, amefanya matukio mengi sana ya ajabu ajabu, wakichofanya Weusi ilikuwa ni sahihi sababu alikuwa anaharibu kitu walichokuwa wameshakisimamisha tayar.
Ila kama amejirudi na anaonekana yupo poa kama zamani enzi zake za N2N apewe nafasi, hiv karibuni nimeona kama amebadilika kidogo, sasa sijui ndio amejifunza au bado kayaficha makucha.
Hamna noma Mkuu, pamoja sana. Fundi Samwel alirudi kwao aisee, jamaa alikuwa na beat fulan unique sana, Sarah alikuwa dem wake, ila walishaachana., kama sijakosea.asante kwa kunielewesha mkuu...
fundi samwel huyu producer karudi kwao sio.
Namuona rafiki yake Sarah ndo bado anaimbaimba.
Nimekusoma sana Mkuu, Hiyo ngoma nilimwelewa sana Wara wara, ninadhan kati ya ngoma zake zote kwangu mim, hii ndio imesimama sema bahat mbaya haikupata air time kivile, ninadhan kama angetoa video ingeisogeza kidogo.Ma slomoo hawaelewagi, sema sijawahi kuisikia bado ngware kwenye radio haikupata air time wakati ni hit song na watu wengi hawaijui
Moja wapo ya sifa inayofanya wimbo kua hit song ni kupata air time radioni na pia watu wengi kuujua huo wimbo, kama hivyo vitu havipo maana yake hakuna hit song kwaio huo wimbo wa ngware haukua hit song labda ulikua ni wimbo mzuri ambao hauku hit...Ma slomoo hawaelewagi, sema sijawahi kuisikia bado ngware kwenye radio haikupata air time wakati ni hit song na watu wengi hawaijui