Nay wa Mitego awatusi bongo movie

Jini kuangalia kushoto na kulia

Mwizi kuvua viatu

Subtitles zinachapia english

Actors wanachapia English

Anatoka kuoga na make up bado iko usoni

Wanatuonesha wanapaki gari dk 10

Wanasema usiku kumbe ni mchana wameshusha mapazia

Wana ongea na visauti kama makatuni, wanakera.
 
Halafu muvi zao hao wasanii wa bongo zina hamasisha ufuska tu,huwez kutazama na watu unaowaheshimu,wanavaa nguo za ajabu ajabu. Ukitaka stimulation za ngono Kama huna tafuta muvi ya kibongo uitazame inakuja sekunde sifuri tu.
 
Hii movie kaiandaa Bashite. Bashite kadili muda unavyozidi kwenda ndo anazidi kuivua nguo serikali ya JPM
Ndio maana nilisema sitaki huyu jamaa atolewe maana ni mtoa maboko kishenzi na atazidi kuharibu yaani maana hawazi kabisa
 
Back
Top Bottom