Hivi Steve Nyerere ni nani katika tasnia ya Bongo movie?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,815
Kwa Mara ya kwanza nilianza kufahamu Steve NYERERE katika kampeni za CCM miaka nyuma akigiza sauti ya NYERERE miaka ya 2000.

Lakini katika kwa sasa hivi namekuwa nikimsikia issue yoyote inayohusu bongo movie amekuwa ni mzungumzaji au ataizungumzia kwa kuita press conference.

Lakini KATIKA pitapita zangu nimesikia KUWA Steve NYERERE hakuwahi kutoa movie yoyote ya kibongo lakini amekuwa mzungumzaji issue zote za bongo movie .

Nilikuwa NATAKA kufahamu Steve NYERERE ni nani katika tasnia ya bongo movie hapa nchini ....?

Na he bongo movie wanamtambua Steve nyerere kama nani
 
kale kaku.ma sikapendi" kanakiherehere kama mtoto wa kike..........
 
Kwa Mara ya kwanza nilianza kufahamu Steve NYERERE katika kampeni za CCM miaka nyuma akigiza sauti ya NYERERE miaka ya 2000.

Lakini katika kwa sasa hivi namekuwa nikimsikia issue yoyote inayohusu bongo movie amekuwa ni mzungumzaji au ataizungumzia kwa kuita press conference.

Lakini KATIKA pitapita zangu nimesikia KUWA Steve NYERERE hakuwahi kutoa movie yoyote ya kibongo lakini amekuwa mzungumzaji issue zote za bongo movie .

Nilikuwa NATAKA kufahamu Steve NYERERE ni nani katika tasnia ya bongo movie hapa nchini ....?

Na he bongo movie wanamtambua Steve nyerere kama nani

Sikia Madee, huyu Steve kama angekuwa demu ilibidi aitwe changudoa ama pashikuna kwa vile ni mwanamme kwa sasa mitaani anaitwa Auntie Steve. Huyu dogo ni mbea, muongo, mchonganishi, mropokaji, mnafiki, yaani ana kila aina ya sifa za kijinga za kina Mama. Anaishi mjini kwa majungu na anafugwa na baadhi ya viongozi, kwani ni yeye ndiye kuwadi wa mademu wa bongo movie kwa mawaziri na wabunge/vigogo wa hapa nchini. Huyu Auntie hana issue, watu wameshaanza kumchora kwa sasa.
 
M'kiti wa kukusanya rambirambi ikitokea mbongo muvi amefariki na hua anazitafuna pia ndugu Steve ndio kuwadi nambari wani wa wadada woooooote bongo muvi hakuna anaepindua kwake yeye ndio anaweka price tags na kwa hakika wadada wa bongo muvi wanamuheshimu Steve maana bila yeye njaa ingeshawaondoa na vile vigari bila kadi na kupangiwa nyumba Steve ni mchekechaji wa plans zote.
Steve ni Michael Scoffield wa Bongo muvi maana ramani ya tasnia ipo mwilini mwake mchokoze ulale njaa na hata hao wa kiume wanamtegemea yeye pia kupata mamende mjini hapa duh acha niishie hapa ila jua kua kiwanda cha maigizo bila Steve kitakufa kifo cha mende maana hawaigizi filamu ila maisha na director wa kuigiza maisha na Steve Mengele.
 
Sikia Madee, huyu Steve kama angekuwa demu ilibidi aitwe changudoa ama pashikuna kwa vile ni mwanamme kwa sasa mitaani anaitwa Auntie Steve. Huyu dogo ni mbea, muongo, mchonganishi, mropokaji, mnafiki, yaani ana kila aina ya sifa za kijinga za kina Mama. Anaishi mjini kwa majungu na anafugwa na baadhi ya viongozi, kwani ni yeye ndiye kuwadi wa mademu wa bongo movie kwa mawaziri na wabunge/vigogo wa hapa nchini. Huyu Auntie hana issue, watu wameshaanza kumchora kwa sasa.
Yeye mwenyewe Aunt Stevie siyo chakula?
 
Back
Top Bottom