Alichokiandika Naibu Waziri Kigwangalla kuhusu perfume ya Diamond

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,762
pjimage-2-6.jpg


Siku chache baada ya staa mwimbaji Diamond Platnumz kuzindua Perfume yake mpya “Chibu Perfume” na kuonesha kupokelewa kwa nguvu kubwa nchini Tanzania, Naibu Waziri wa Afya, Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe kuhusu perfume hiyo huku akimsifia Diamond kwa kufanya vitu vikubwa pamoja na kukiri kuwa yeye sio shabiki wake isipokuwa anaupenda muziki wake.

“Sikuwahi kuwa mshabiki wa msanii huyu kijana @diamondplatnumz, kama nilivyosema hapo nyuma kidogo, japokuwa nimekuwa nikifuatilia na ku-enjoy muziki wake; Ila toka nimeanza kumfuatilia nimegundua kuwa, this young man is not only a good entertainer, but also a talented entrepreneur and businessman.

He does business in music, he does a business of entertainment. Sasa naona kupitia kipaji chake cha ujasiriamali, naona ameamua kuwa muwekezaji, an investor! This is incredible. Keep stepping up your game son, that’s the way to do it! Hakika wewe umetoka [HASHTAG]#NjeYaBox[/HASHTAG], na Mungu akuongoze ubaki huko huko juu, usishuke!

I wish wasanii wenzako pia watoke nje ya box kifikra, wafanye biashara kwenye vipaji vyao, wageuze changamoto kuwa fursa, waache kulalamika, wapige kazi tu! [HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]! Kwa sababu nyie watu mashuhuri mkigeuza crowds zenu kama chanzo cha solo la bidhaa zenu, kwa hakika mtafanikiwa sana!

Changamoto kwenu wadogo zangu… – Hamis Kigwangalla (Naibu Waziri wa Afya)

 
Hospital ya Muhimbili kitengo cha wamama wazazi kimefurika wagonjwa..

Unaingia Leba ukiwa umelala chini tena sio wodini ila kwenye korido na ukitoka Leba unarudi chini pale pale kwenye korido.. Aibu kubwa


Hospital ya Mtwara LIGULA imesimamisha huduma za maabara sababu hospital haina MAJI.. Shameful indeed.

Ocean Road kuna jam ya wagonjwa wanaosubiri treatment ya mionzi. Jam ya kutisha, sababu ni moja tu.. Nchi nzima ina mashine moja tu kwa hii kazi.. AIBU.

Kingwangwalah shugulikia Hizi changamoto.
 
Back
Top Bottom