Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Najuwa wapo watu watakuja kunishambulia lakini Mimi kama nasimama kwenye ukweli huwa siogopi kushambuliwa hata kwa risasi. Wote tunajuwa matumizi ya perfyumu na sidhani kama huwa kuna perfume...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Wadau wafawatiliaji wa nyimbo za hip hop mmeisikia ngoma ya chindo??? Toeni mawazo yenu kwa mliyoisikia
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo...
13 Reactions
201 Replies
48K Views
Wadau, Leo nimeona tujikumbushe na suala hili, moja ya kumbukumbu ni kwamba mchora katuni maarufu Masoud Kipanya siku Clouds TV wanafanya sherehe ya kuanza kuonekana DSTV, aliwaponda kupitia...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo? Makongoro Mahnga alipta...
0 Reactions
83 Replies
19K Views
Nlikuwa nikitazama vedeo Music ya nyimbo show me kutoka WCB Richi Mavoko akiwa na Harmonize. Video Queen alie mtumia ni mkali sana na amecheza vizuri sanaa. Pia ni dada anaetambua kazi yake na...
4 Reactions
34 Replies
15K Views
Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea...
17 Reactions
191 Replies
33K Views
DARASA AWAJIBU MASHABIKI WAKE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nani amekuambia wapenzi waliotengana au kuachana ni maadui? Sahau kabisa kuhusu hilo kwani Rapa Nay wa Mitego ameudhihirishia umma kwa kutangaza kuwa kwenye Tour yake ya muziki ‘Wapo Tour’...
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Harmonize amesema watu wanashangaa kuona anatembelea magari ya kifahari ila hawajui tu kuwa muziki unampa Connections nyingi kwani mbali na show pia anaingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa...
4 Reactions
73 Replies
26K Views
Nani mkali kati ya hawa wawili, msanii chipukizi ( Harmorapa) na msanii mzoefu kwenye gemu LA muziki ( Darasa) Karibuni kwa maoni
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Huyu kaka nampenda sana jamani... Sura yake sasa,ukija kune sauti dah unaeza naniliu hivi hivi.... Kwa anaemjua ameoa? au ana gf?? Yani siku hizi sipitwi na jahazi kizembe...nikimsikia tu me...
2 Reactions
98 Replies
21K Views
Kama hauamini zisikilize nyimbo zote mbili halo chini. Ni ukweli usiopingika kuwa Darasa ameiba biti iliyotumiwa na msanii underground sana katika muziki Wa bongo fleva. Kama wasanii wakubwa...
5 Reactions
61 Replies
16K Views
Naona sasa ni wakati muafaka kwa huyu Mtangazaji wa michezo wa TBC Taifa aitwae Jesse John amuombe Mkewe akubali ' kumbebea ' Mimba ili amzalie Mtoto wa Kiume kisha amuite Haruna Niyonzima...
2 Reactions
74 Replies
15K Views
Achana na lile pambano lililobatizwa jina la "Pambano la karne" kati ya mwanamasumbwi machachali ambaye hana historia ya kupigwa wala kutoa sare tangu aanze ngumi za kulipwa, ajulikanaye kama...
9 Reactions
104 Replies
17K Views
Rejea tu kichwa cha ' uzi ' hapo juu na karibu ' utiririke ' Mkuu.
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari ndugu? Nimeguswa sana na jumbe hii, naamini nawe pia kuna kitu utajifunza, pata kusikiliza hii audio- anaitwa CLION O DISMAS
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom