username47
New Member
- Apr 20, 2017
- 4
- 2
Ni swala ambalo linanitatiza sana,nlichofundishwa shuleni na ninachojua ni kwamba these stars are supposed to be an example to the society..lakini wamekua wakionyesha vitu tofauti sana,wao ndo wamekua mstari wa mbele kuchochea fitna,vijembe na chuki hasahasa kwenye mitandao ya kijamii..alafu bado mtu anaigiza movie yenye theme ya umoja ni nguvu au "inabidi tupendane na kurekebishana kwa lugha nzuri"
Yani wanasahau kabisa impact yao katika jamii..yani wamegeuza bongo movie kama biashara ndomana siku hizi wanatumia hata siku mbili tu kushoot movie nzima ,alafu wanategemea wapate faida ya mamilioni
Naomba hawa stars wajichunguze sana,wanajikosea heshima kwenye jamii