JB: Simfahamu Ney wa Mitego wala sisikilizagi Bongo Fleva

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
JB amedai hamfahamu mwanamuziki huyo na wala hasikilizagi bongo fleva, ila kwa kauli yake hiyo amesema anampenda sana japo amemdiss,
Yeye pamoja na kusema hasikilizi Bongo Flevaila hawachukii wanamuziki wa Bongo Fleva
Pia amesema sio kwamba hawataki movie za nje zisije ila wanataka zilipe kodi kama wao wanavyofanya, kwa kuwa mtu anadownload movie ya nje kisha anaizalisha copy nyingi na kuiuza bila kulipa kodi na amesema hii ikiendelea na wao hawatalipa kodi kwa movie zao pia

Kumbe huyu jamaa ana akili.....asikilizi bongo fleva? Safi sana hii, itabidi nianze kununua filamu zake kuanzia sasa.
 
JB ni rafiki yangu kwa kukubali kazi zake, siku zote nanunua movie anayoshiriki. Hata hivyo Bongo movie wameshindwa kusoma alama za nyakati, siasa zinaharibu kazi zao. Wanajua kabisa kuwa Bashite ana mgogoro na taifa yet wanamtumia kwa wakati huu, nadiriki kusema sio wakati muafaka.
 
Tena Huyu JB ni kilaza kam bashite tu movie zake pamoja na ku-copy nje bado ameshindwa kuzitendea haki.

Kuna movie yake moja kacheza na wema sepetu inaitwa 14 days ni copy ya movie moja inaitwa Fireproof yaani each and everything amechukua PUMBAVU KABISA
 
Bongo movie akili zao zinawatosha wenyewe, eti anasikiliza country music, sasa bongo movie nao wakisema music wa nje usiingie atasikiliza nini? Hajiulizi why bongo fleva hawazuii muziki wa nje zaidi wana waalika waje washirikiane na wao wanapata mualiko wa kwenda nje kufanya kazi na wanamuziki wa nje na BADO BONGO FLEVA WANAZIDI KUPATA TUZO KIMATAIFA? Hizo country music angesikilizaje kama bongo movie nao wangekataa muziki wa nje? AISEE JB angalia unapo zungumza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom