Msikilize JB akizungumzia Mgomo wao

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433

JB afunguka aeleza sababu ya mgomo sio kufungia Movie za nje, bali ni kutaka walipe vibali na kodi kama wao. Akiri kwambamovi za njeni bora kuliko zao. afananisha movie hizo mbili na bia ya safari na Heinken.
 
Mi nimemuelewa na ana hoja.
Amekua honest.
Anacholalamikia hasa ni kwamba Hawawezi kucompete na Movie za nje sokoni.
Na malalamiko yake hasa ni kwenye Bei. Za nje zinapatikana kwa gharama nafuu zaidi. Kutokana na mfumo wake wa kuingia sokoni.
Na gharama za kuziingiza sokoni.
Kwanza wanazidownload tu ,then wanadublicate na kuziweka sokoni hivyo zinakua na gharama nafuu na ukizingatia zina ubora zaidi ya bongoz ndio kabisa.

Za bongo hadi ziingie sokoni lazima zipitie mamlaka kadhaa ambazo huko nigharama.
Bado gharama ya kuiingiza sokoni inaanzia kwenye kuitayarisha. Unlike za nnje ambazo ni kudownload tu.
 
Kwenye hilo nimemuelewa kabisa. . .
Uwepo utaratibu mzuri wasoko la.movie ili waweze "kucompete"
 
JB afunguka aeleza sababu ya mgomo sio kufungia Movie za nje, bali ni kutaka walipe vibali na kodi kama wao. Akiri kwambamovi za njeni bora kuliko zao. afananisha movie hizo mbili na bia ya safari na Heinken.

Safari na heineken wakimpeleka mahakamani ushahidi anao.....hawa bongo movie akili zao finyu sana
d04b188d3ebcf27e2b7bec30eda28ec4.jpg
 
Mi ninaona wao wanavyozuia movie za nje kufanya biashara ndani ni upuuzi nao wanajifungia milango kufanya movie kimataifa, yaani unakaa na akili ya kufanya kazi ya kujilimt kimaendeleo na ki ujuzi kisa chuki binafsi, bora wangeandamana kushinikiza kodi zipunguzwe nao wauze bei ndogo, yaani aliekuwa anajitambua ni marehemu kanumba tu ndio maana aliweza kufanya kazi nje ya nchi hii.
 
bongo movie wengi wa akili kama za vicent kigosi ndo maana maendeleo itakua kwenye makapeti tuu
 
Huyo naye nunda hivi unawezaje kugoma kufanya mtihani kisa tu jamaa anaekushinda huwa asomi sana kama Ww? Asee hii bado Bongo movie
 
Mi nimemuelewa na ana hoja.
Amekua honest.
Anacholalamikia hasa ni kwamba Hawawezi kucompete na Movie za nje sokoni.
Na malalamiko yake hasa ni kwenye Bei. Za nje zinapatikana kwa gharama nafuu zaidi. Kutokana na mfumo wake wa kuingia sokoni.
Na gharama za kuziingiza sokoni.
Kwanza wanazidownload tu ,then wanadublicate na kuziweka sokoni hivyo zinakua na gharama nafuu na ukizingatia zina ubora zaidi ya bongoz ndio kabisa.

Za bongo hadi ziingie sokoni lazima zipitie mamlaka kadhaa ambazo huko nigharama.
Bado gharama ya kuiingiza sokoni inaanzia kwenye kuitayarisha. Unlike za nnje ambazo ni kudownload tu.
Simple sana huko wanakoona kuna gharama ndio waende wakaombe waondolewe huo urasimu na hizo kodi!
 
JB afunguka aeleza sababu ya mgomo sio kufungia Movie za nje, bali ni kutaka walipe vibali na kodi kama wao. Akiri kwambamovi za njeni bora kuliko zao. afananisha movie hizo mbili na bia ya safari na Heinken.

Sikuwahi kujua wala kuwaza kuwa kumbe Mwigizaji JB ana akili nzuri hivi hata kumzidi yule aliyewaratibu kuandamana na akawa anawapazia sauti wakati kumbe na yeye ni jana yake tu nasikia alimuazima Mtu DVD ya Prison Break season 73 ili akajiimarishe zaidi katika uvamizi, utekaji, utishaji na unyanyasaji wa wana Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom