Msanii mdogo kutokea huko Arusha amesema mwanaume kama huna helani bora usiwe na mtoto maana wanatekeleza watoto na kusababisha mateso kwa viumbe wasio na hatia na sasa maisha yamekua magumu
Pia...
Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please
Mfano
Exaud Makyao
Kibunango
Josm
Sipo
Faith
Nyamayao
MTM
Na wengine...
Wakazi ni kumbe ni jamaa wise sana, amefafanua kilichompelekea afande sele kumtolea povu ni kuwa aliulizwa ataje mc wake mmoja mkali akajibu kuwa hawezi kutaja mmoja ila wanne akamtaja Fid Q, One...
Leo nimebahatika kuangalia video ya huu wimbo, niambie. Nikisikiliza maneno nasikia umenipendea nini ingali sina dough(pesa). Mara mangi asije kukudanganya na kilo ya unga. Sina kazi hata senti...
Hii kitu nimeanza kuwaza toka usiku na nimeamka asubuh moja kwa moja mpaka JF celebrities forum kutoa mapovu yangu kwa watz ama wabongo.
Huu uzi unatokana na tabia ya wabongo kuamini ktk mtelemko...
Ukiona jinzi kina Don Jazzy wanavyomheshimu D banj
na wasanii wote wa Nigeria wanavyopendana inatia raha sana
Juzi juzi Davido katoa wimbo mkali sana unaitwa 'if'
kumbe alieutengeneza ni...
Robert Nesta Marley,ambaye baadaye alikuja kujulikana kama Bob Marley,alizaliwa Februari 6,1945 katika kijiji cha Nine Mile kwenye Parishi ys mtakatifu Ann huko Jamaica. Baba yake Norval Sinclair...
Habarini Wadau,
Sio siri huwa ninampenda sana Hoyce Temu aliyekuwa Miss Tanzania nafikiri wa mwaka 1999.
Huyu dada amekuwa akionesha roho safi na upendo wa dhati kabisa kwa wasiojiweza na hasa...
Msanii Lina alikuwa akihojiwa FNL ya EATV na alipoulizwa swali ni kwa nini ametupia picha akiwa amevaa hivyo alisema sio yeye wa kwanza kufanya hivyo kuna watu kibao wanafanya na watu...
Mlimbwende, Agnes Gerald maarufu kama Masogange (28) amejisalimisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kabla ya Masogange kujisalimisha mahakama ilitoa hati ya kumkamata baada ya kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.