Picha: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Samatta Ubelgiji

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jana usiku amekutana na nahodha wa Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta huko Ubelgiji alikoenda kwa ajili ya Mkutano wa kutatua migogoro ya kisiasa nchini Libya.
Mzee Kikwete mapema baada ya kukutana na nyota huyo anayekipiga kunako Klabu ya Genk alionesha furaha yake na kuandika ujumbe mzuri wa kufurahishwa kwa kukutana nae.

Nikiwa hapa Brussels kuhudhuria Mkutano wa Wadau wa Libya nimepata fursa ya kukutana na mwanasoka na kipenzi chetu @samatta77 leo hii“, Ameandika Kikwete lwenye ukurasa wake wa Twitter.

Samatta nae hakuchukulia poa shavu hilo la kutembelewa na Rais Mstaafu kwa Kuandika “Ni wakati mzuri siku zote kukutana na our former president Mr @JakayaKikwete Wise and charming man. Asante sana mheshimiwa mungu akuweke” .

Mbwana Samatta ni moja ya wachezaji ambao wametajwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kinachojiandaa kuvaana na Lesotho mwezi ujao kwenye mechi za kufuzu AFCON.
DAh_HbcXsAQic4E.jpg
18646184_224602934703500_3792924329637838848_n-600x750.jpg
 
View attachment 514108 View attachment 514107

Wakati Watanzania wanashituka na wizi wa Mali zao, Rais mstaafu mpenda raha aliyechangia kuiweka tanzania kwenye hali ngumu, anatumbuwa maisha bila ya kujali kwa pension inayolipwa na Watanzania. Kweli dunia haina usawa.
 
Nimependa viatu vya Mh.JK

Vimenunuliwa na jasho la Watanzania waliowachwa kwenye mataa kwa uongozi wake duni. Angegunduwa wizi wa mchanga zamani lakini badala yake alitumia pesa za Watanzania kupata mitaa ya Europe. Unaenda via tu vyake vimenunuliwa na shida zetu.
 
Wakati Watanzania wanashituka na wizi wa Mali zao, Rais mstaafu mpenda raha aliyechangia kuiweka tanzania kwenye hali ngumu, anatumbuwa maisha bila ya kujali kwa pension inayolipwa na Watanzania. Kweli dunia haina usawa.
Ameteuliwa mkuu kuwa moja ya wasuluhishi mgogoro wa Libya, nadhani ungekuwa proud juu ya hilo na sio kuzungumza unachochozungumza...
 
Proud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi? Pengine wengemkaribisha kushangilia mpira ama taarabu. Walio kuchaguwa hawajui, he is not fit for any leadership.
 
Wakati Watanzania wanashituka na wizi wa Mali zao, Rais mstaafu mpenda raha aliyechangia kuiweka tanzania kwenye hali ngumu, anatumbuwa maisha bila ya kujali kwa pension inayolipwa na Watanzania. Kweli dunia haina usawa.
Chuki za kijinga kabisa hizi!! We unaambiwa yupo Ubelgiji kuhudhuria Mkutano wa Libya halafu unasema anatumbua maisha!!!

Au ulitaka 24/7 ajifungue kwenye chumba cha mkutano?! Yaani Mkutano wa Wadau wa Libya unalipiwa na pesa za Tanzania?!
 
Jamani wacheni maisha yaitwe maisha , wajua nikiangalia hapa na kumlinganisha mwana Mbagala kutoka kilungule
huwezi amini kuw andio yeyey, tena aliye pata zero (sifuri =0 ) kidato cha nne.
Aiseee, maisha yanatia hasira sana. Dogo wa mbagala hatimaye ageuka kuwa "Don wa Ubelgiji". poa tu
wana mbagala tuna kumiss mwana Samatta.
 
Proud for what? Ameteuliwa kwaajiri ya ukimya wa Watanzania. This man does not deserve even to manage a chicken farm, WACHA kusuluwisha shida za Libya. He was not born to lead, Atasuluhisha nini Wakati Tanzania kaiacha hoi? Pengine wengemkaribisha kushangilia mpira ama taarabu. Walio kuchaguwa hawajui, he is not fit for any leadership.
Povu at work!! Pole sana, wakati unamwaga povu kwamba hana uwezo hata wa kusimamia chicken farm, mwenzako kila anapewa nafasi mbalimbali!!

Ni uzuzu kudhani kwamba wewe ndo unamfahamu zaidi JK kuliko wanavyomfahamu hao wanaomteua!!!
 
Back
Top Bottom