Utabiri, Zari kuhamia na kuishi bongo

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Hapo awali Zari alikuwa anaishi South Africa akijifanya kwamba kule kuna kazi zake

Ukweli South kulikuwa kunatumika tu ndio njia ya mchepuko na kukutana na ivan enzi za uhai wake kwani muda mwingi Diamond anakua tanzania hivyo distant relation inakuwa ngumu

Kwa sasa baada ya msiba kuisha, Zari hana sababu tena ya kuishi South zaidi ya bongo Tz, atawashwa tu na kuhitaji ukaribu na Diamond na hii itamfanya ajikute kahamia hapa nchini.

Ila hata ngebe, jeuri na uboss wake kwa Diamond vitapungua, kwani sio siri Diamond alikuwa anaendeshwa akijua kwamba inawezekana Zari akarudi kwa Ivan na hili lilikuwa linafanywa kwa usiri huko South Africa

Karibu sana Zari hii ndio Tz njoo Msahilawadu yakuzoo yawe yanakuvutia waya!
 
Mazishi kwanza mengine
18645414_925944784210489_8650895485193682944_n.jpg
baadae. Ila kumbuka zari sio mwanamke wa kitanzania wanaoonewa sana baada ya waume wao kufariki. Usije sababisha dai akala mtoso oohoo waganda si wa mchezo mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom