Jackline Wolper : 2020 nitamuunga tena mkono Lowassa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,803
2,000
Msanii wa Bongo movie amedai yeye hana Chama ila anamkubali Lowassa na alikuwa akimkubali tokea akiwa CCM na 2020 atamsapoti tena.
Amesema yeye hakua Chadema na wala sio CCM

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom