Hivi hawa Shilawadu ni watangazaji au wasanii kitaaluma

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Je wamesomea utangazaji, uigizaji/ usanii? Sijawahi kuwaelewa taaluma yao

Karibuni
 
Wamesomea umbea mkuu si unajua kirefu cha SHILAWADU - SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI....

Huwa siwaelewi² hata
 
Je wamesomea utangazaji, uigizaji/ usanii? Sijawahi kuwaelewa taaluma yao

Karibuni
185fb9e71fcccde69b23f4d7ec708dee.jpg
 
Hawa jamaa kipindi na utangazaji wao ni ubunifu filani wameuleta. Hawa hawahitaji hata kuwa na weledi wa chuo.
 
Kinachomata ni kupiga pesa tu

Jamaa ni maarufu nchini so wacha waendelee kunyapia
 
Back
Top Bottom