Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 825
Diamond platnumz akihojiwa na @ntvkenya alisema kama ifuatavyo.
Na aliendelea kusema:
Ahsante@ntvkena interview.
Na aliendelea kusema:
Ahsante@ntvkena interview.
Jamaa ana akili saana ingawa hana vyeti ? Cha kujiuliza elimu ya kupewa ya vyeti ni kigezo sahihi cha kupima uwezo wa mtu kiakili ?Niliiona hii interview NTV live. Chibu ana akili wacha afanikiwe.
"I've been a poor man, and I've been a rich man, and I choose rich every fucking time..."Umaskini ni laana na mzigo mkubwa.
Mmekuwa Yanga.?Awe makini sasa akichezea vibaya maisha ataanguka na tutapoteana
Yanga wametokea wap tena mkuuMmekuwa Yanga.?
Kuna wanaopoteana zaidi ya Yanga?Yanga wametokea wap tena mkuu
Kuna wanaopoteana zaidi ya Yanga?
Sio sahihi japo alikiri kwamba angekuwa mdogo angesoma sababu sasa hivi yeye chibu anahitaji sana watu wenye elimu ku run bishara yake
Angesemaje? Do you even know what platinum is?"I am a platinum" jamani hizi lugha za watu kama hatuziwezi tutafute hata wa kutupiga msasa.
Ni yeye au menejiment yake?Niliiona hii interview NTV live. Chibu ana akili wacha afanikiwe.