Yupo wapi Kelvin Twissa

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
-Mmoja wa wataalamu wa Sales ,PR na Marketing hapa Tanzania.
-Jamaa ana kipaji pia cha U-Dj
Alianza kung'ara wakati yupo Tigo,halafu akaenda Airtel kabla ya mara ya mwisho kumsikia Vodacom wakati Rene Meza bado ni MD.
Nakumbuka wakati yupo Airtel alifanya kazi nzuri sana kuirudisha kwenye ramani huduma ya ZAP ambayo sikuhz inaitwa AirtelMoney.

Je sikuhz yupo wapi huyu jamaa
 
Ninavyojua stil yuko Vodacom km guru wa Marketing. Kama ulivyosema anakipaji cha udj ni kweli na kipaji hicho huwa anakifanyia kazi pale the Alcade east 24 Mikocheni ambako huwa anaungana na DJ peter moe kwa project ya grooveback. Mara nyingi huchezesha session ya nyimbo za Ragga, dancehall, riddim, lovers rock na jamii yake.
 
sidhani kama kweli yupo vodacom,huko si ndio aligonga 10 % ya vile vi`baby walker aina ya hyundai i10 kama sikosei akaleta mtafaruku,atakuwa mtaani tu nae zama zake zilishapita...acheni kufukua makaburi..
 
Ninavyojua stil yuko Vodacom km guru wa Marketing. Kama ulivyosema anakipaji cha udj ni kweli na kipaji hicho huwa anakifanyia kazi pale the Alcade east 24 Mikocheni ambako huwa anaungana na DJ peter moe kwa project ya grooveback. Mara nyingi huchezesha session ya nyimbo za Ragga, dancehall, riddim, lovers rock na jamii yake.
Kweli hata mimi mara ya mwisho nilimuona pale
Bado yuko hot kabisa
 
Sio mzee kwa maana ya mzee ila umri utakuwa umeenda kama wa Kasie vilee.....
Wenyewe wanasema uzee ni uchakavu ila usipochakaa utabaki kijana tuu.
Ukijitunza haina shida....uzee haupo mjini lakini
 
He is well off doing what is right for his family,
Nadhani ana share kwenye campuni nyingi tu hapa mjini
Mojawapo ni Finca...

Btw, mambo ya kujikweza na kutangazana sana to the extent unabeba sifa hata si zako wanazo sana wabongo, jumlisha na haters... dah....
[HASHTAG]#BBM[/HASHTAG]...
 
Huyu jamaa marketing anaiweza sana japo alikuwa na haters wengi ndani ya voda pia.

Alishatoka VTL ana kampuni yake binafsi. Ni mtu poa sana. Toka alipoondoka Vodacom brand zao naona zinachechemea sana wamebaki mazoea. Ilibidi voda wamrudishe huyu nguli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom