Nadhani ungekuwa sahihi zaidi kama ungeandika "Hapa ndipo walipofikia Watanzania wa Instagram!" Uncle wangu, aunt yangu, hata yule bro wangu ambae hadi kesho anatumia Nokia Obama katu, never, asilani, abadani hawezi kufanya jambo kama hilo!!!
Sema kwasababu huwa hufuatilii comments kwa mastaa wa nje ndio maana unaweza kuona hilo kama kitu cha ajabu sana!
Ila hiyo sio bongo tu kokote kile inatokea!
Ndio maana kama mtu unakwazika haraka achana Na social media! Kuna watu wenye akili za kila namna!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.