Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

Masanja hua anamchezea sn Mungu kwenye gospel zake uchwara.

Q Boy Msafi nae ajikite kwenye kipaji chake cha kumnyoa Diamond aache muziki.

Kuna kipindi nilisikia Gigy Money anatambulisha wimbo wake redioni, kidogo nitapike.

Hivi yule jamaa anajiita Baba Levo bado anaimba. Sijawahi kumwelewa miaka buku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom