First Lady wa Ufaransa

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
9,038
17,933
BRIGITTE TROGNEUX
Ana umri wa 64 na mume ana 39! walioana 2007! na inajulikana mwanamama aliwahi kuwa mwalimu wa Pres. Macron.

ALIOLEWA NA BANKER WAKATALIKIANA...
Aliolewa na mfanyakazi wa benki, Andre Louis Auziere, ambaye alizaa nae watoto 3 na wajukuu 7.
So Rais Macrona ana wajukuu wa kufikia saba na watoto 3!

View attachment 513018
 
Kwani vipi leo ni birthday yake au? Hujasema unataka sisi tufanyeje au unadhani hatujui kama huyo mama naye kazaliwa kama sisi?
 
Kwa maana hiyo Macron hataki watoto wa kuzalisha mwenyewe wale wa kulea wanamtosha, sipati picha angekuwa bongo na familia hizi zinazoangalia umbo la bi harusi kila alfajiri kama limetuna au bado..maana bongo yetu hii ukichelewa kuzaa kwenye ndoa utajuta kuolewa.
 
Back
Top Bottom