GTA
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 878
- 649
Unaambiwa Zari anasema yeye bado ni mke wa Ivan unaambiwa mpaka anasema huyu mtoto wa mwisho Nillah ni wa Ivan huko kwenye vikao vya familia…Lakini to be fair Zari ana haki ya kupewa mali za wanae sasa Hivi sio mpaka wawe wakubwa. Yeye ni mama yao, Ila Zari nae asitake na yeye apewe sababu alisha move on na life yake,yeye apewe cha watoto basi Na akumbuke kuwa kisheria wazazi wa Ivan na wao wana haki ya kurithi….
Yani hapo mgao unatakiwa kuwa kwa watoto wa marehemu na wazazi wake basi wengine watulize mshono Na vya watoto apewe mama yao Sasa hivi sio vibaki kwenye familia hadi watoto wakue, tatizo kubwa unaambiwa ni Bibie Zari anataka kila kitu apewe yeye na wanae basi!!!
Credit: e-pepa