Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
Picha hapo chini[emoji116]...
Huyu Diamond huyu sidhani kama ana dalili ya kushuka,
simuongelei kiushabiki ila trust me, I wish mngepata nafasi ya kuusikiliza wimbo wake mpya aliorecord na Patoranking ebhana usipime!
Yani huu...
Mi ni mtu mzima ila nafuatilia mziki wa vijana tena vijana kweli , yaani wale wenye umri mdogo lakini wanafanya vema katika gemu kama niliowataja hapo juu ns hakuna aliefikisha miaka 25.
Sasa leo...
Hivi serikali haiwaoni mamodo /video queen kaka huyu pichani?
Hali imekua mbaya sana hawa mamodo wameamua kabisa kupiga picha za uchi na kuziweka mitandaoni
Utamaduni na maadili ya Mtanzania...
Msanii Madee A.k.a Rais wa Manzese kafyatua ngoma na msanii Tekno wa Nigeria,mzigo umefanyikia wasafi record kusikiliza ngoma iko hapo chini
-Ndumilakuwili-
Kuna wanamuziki ambao wamefanya mambo makubwa sana katika fani ya muziki hapa Tanzania na pengine Africa na hata duniani. Hata hivyo hawajapata kutambulika kulingana na mchango wao sawasawa. Uzi...
Producer mkali wa kitambo P Funk Majani amedai maneno ya kumsifia Harmorapa noma, ilikuwa tu ni kejeli kwa dogo huyo
Amedai hata kwa milioni 10 hawezi kumrekodia msanii huyo kwa kuwa yeye...
Mshindi wa milioni 50 za Tanzania Movie Talent, Dennis Louis amesema mtoto wa Hamisa ni wake sio wa Diamond kama watu wanavyodai kauli ambayo imewafanya madau wengi katika mitandao ya kijamii...
Ni kipaji ambacho ninacho ila nahisi kama nikikaa bila kukifanyia kazi basi kitakufa.
Kama kuna kijana au msanii yeyote ambaye anajua kuimba na yuko tayari nimwandikie mashairi basi nitamwandikia...
Wakati ndoa yake ikitimiza mwaka mmoja mwezi huu tangu ilipofungwa Agosti, mwaka jana ndani ya Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar, aliyekuwa memba wa Kundi la Vichekesho la...
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.
Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana...
Nimekutana na hii post kaipost msanii OMMY DIMPOZ kwenye page yake,kiukweli haileti picha nzuri kwa jamii kwa msanii mkubwa kama yeye kupost ujinga kwenye page yake.
Ipitie hapo chini[emoji116]...
Wote wamekalilishwa neno "kimataifa" utacheka sana namna wanavyokazania huu ujinga... Madee katoa nyimbo mpya kamshirikisha Tekno wa Nigeria alooo nyimbo ni mbaya dunia nzima, shishi kamshirikisha...
kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse...
Kipindi cha nyuma kituo cha televisheni cha ITV kilikua kikirusha majadiliano ya wasomi wetu toka shule na taasisi mbali mbali za elimu ya juu, na tangazo kubwa la kipindi iki na lilikokua maarufu...
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.