esc343
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 354
- 580
Buenos noches
Huyu kijana naweza sema ni mtanashati na mbunifu sana kwenye tasnia ya habari, anatumia vizuri social media kutufikishia habari ontime na uncernsored. Kupitia youtube channel yake pia blog yake ya millardayo.com tunapata updated news.
Awali nilifikiri millard anatuhabarisha au anapost every current news, hachagui habari, last week alipost ishu ya alikiba na mikataba ya sony. Vilevile alipost diamond na deal ya redgold tomato.
Ila nimepata wasiwasi pale ambapo hajapost anything about LADY JAYDEE na show yake, hata highlights hakuna. Inamaana AyoTV ni ya ruge au kwenye mikataba ya clouds kwa wafanyakazi wake kuna clause yakumzuia staff kujihusisha na habari zozote za lady jaydee.
Kwangu naona hapo anakosa ueledi na utashi wa kuchagua habari za kupost, alipost behind the scene za nyimbo ya chura, pia hata ishu sijui ya bday ya dancer wa diamond. Inamaana show ya Jaydee wasn't relevant au!!!!
Note:
Ni mtazamo tu