Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa...
102 Reactions
481 Replies
59K Views
  • Redirect
Mods tafadhali sana tunaomba msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine. Haya wana ukumbi tupia swali lako au pengine dukuduku kutokana na press ya leo ya Msanii Roma.
2 Reactions
Replies
Views
Habari za mchana sana JF wenzangu. Uhusiano ni UPI hapa. Wasanii waliowengi wakubwa wametoboa pua na masikio,wanavaa hereni,wamejichora tattoo mwilini mwao. Naomba msaada juu ya hili.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wasalaam wanajf Hivi karibuni nimemsikia kamanda Wa jeshi la polisi akitoa tahadhali na muda kuhusu kusitisha usambazaji Wa mikanda ya filam za nje ili kulinda soko la wasanii wetu. Nafikili kwa...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Redirect
Nadhani sasa ni wakati muafaka kabisa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania afikirie kumpa ama usajili wa muda wa kudumu kabisa Askofu Josephat Gwajima ili tujue moja huu ' upuuzi ' wake...
0 Reactions
Replies
Views
Erick Shigongo bado anaendelea kumpa ushauri msanii wa muziki nchini Alikiba na uongozi kuwa wanatakiwa kuwa heshimu mashabiki wake.Japo Shigongo ameendelea kumpa ushauri tofauti ili kuweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa...
0 Reactions
36 Replies
12K Views
Nimejaribu kuusikiliza ule wimbo wa msanii wenu pendwa nimesikitika sana. Kama yeye msanii pendwa sikujua nini kimemsukuma na kujiingiza kwenye utetezi wa anaetuhumiwa kuwa hana vyeti. Kama yeye...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mnalo mnaopotoshwa na huyo nabi wa uongo .mimi simo nyiye mfateni tuu ,movie inaendelea &hhhhhggffgjhdddfvhfdssghhfdfffghjjvxx nn,, Gwaji nabi wa Shetani
1 Reactions
6 Replies
642 Views
Nate Dogg. Hooks ain't been the same toka Mchizi alipoacha kufanya, kuumwa mpaka anakufa. Baadhi ya sehemu alizoharibu na sauti yake ni 'i like dat' ya Houston, 'Next episode' ya Dre, 'can't deny...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Najua kutafuta umaarufu ni kazi ila kuharubu umaarufu ni ndani ya dakika moja na ukabaki historia Nimejaribu kukaa chini nimefikiria kiundan nimegundua kitu ambacho yawezekana DIAMOND...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati Nay wa mitego amekamatwa alitoa ujumbe kupitia account yake ya instagram akieleza kuwa watu waliomkamata walikuwa wamejitambulisha kama maafisa wa polisi, so jamii ilijua fika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni katika wimbo wake mpya uitwao bora nikae kimya. Diamond amegusia ugomvi wa Makonda na Gwajima na ushiriki wa Mange. Amegusia tatizo la vyeti la Makonda na shinikizo la kutaka atenguliwe. Katika...
13 Reactions
648 Replies
90K Views
  • Redirect
Baada ya kupatikana msanii Roma na wenzio wataongea rasmi siku ya jumatatu
0 Reactions
Replies
Views
Watanzania wamekuwa mbogo na wameanza kumtemea cheche mwanamuziki nguli nchini....Simber! Si kitu chepesi msanii kukubali kuweka rehani kazi yake, tena inayomlipa sana just kwa kutaka kuendekeza...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Bwana Diamond na wengine wachache waache kuleta siasa, utani na unafiki kwenye roho na maisha ya watu. Inaonesha wazi hauna msimamo, mara umeamua kukaa kimya mara unajishtukia unajidai "Kwakweli...
17 Reactions
72 Replies
7K Views
  • Redirect
Kati ya hawa watu wawili hapo juu ni nani maarufu zaidi? Nauliza tu, ili nijui nani atakuwa anatafuta kick kwa mwenzie....
3 Reactions
Replies
Views
Nimeusikiliza wimbo wa Mondi na naheshimu maoni yake! Kuna waliopenda na kuna wasioupenda ila ni maoni yake na tuyaheshimu. Linalonishangaza kidogo ni kwa jinsi Mondi alivyomjibu Gwajima kwamba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Hivi mnadhani kuwa kwenye spotlight ya userebiti au siasa ndio uhalali wa kusema chochote kilicho akilini mwako eee...#kajiandae kaka Dai...maana sio kwa taizi hizi za Gwaji. Teh teh teh
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom