Hivi hawa watu wako wapi siku hizi....

Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
2,183
3,520
1.O ten mzee wa ebu nicheki

2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka

3.Kalapina

4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?

5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke vipi?

6.Siwema ambaye aliwachanganya wasanii kibao mpaka kupelekea kumwiimba.

7.Mzee wa Umbo namba nane.

8.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.

9.Bushoke (Bwege).

10.Yule mzee wa mabinti wa kibongo

11. Na wengine wengi wa enzi hizo ningependa kujua wako wapi siku hizi?
 
Gk game lime mdodea kajitahidi kuludi lakini wapi? bora akomae na mambo mengine saizi ni nyakati za wengine, hao wote hapo juu mda wao umekwisha expire...bora hata kalapina bado yupo kwenye masikio ya watu
 
1.O ten mzee wa ebu nicheki

2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka

3.Kalapina

4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?

5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke vipi?

6.Siwema ambaye aliwachanganya wasanii kibao mpaka kupelekea kumwiimba.

7.Mzee wa Umbo namba nane.

8.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.

9.Bushoke (Bwege).

10.Yule mzee wa mabinti wa kibongo

11. Na wengine wengi wa enzi hizo ningependa kujua wako wapi siku hizi?

Umewatafuta katika ' mapori ' ya Ununio ukawakosa?
 
1.O ten mzee wa ebu nicheki

2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka. thei

3.Kalapina

4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?

5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke vipi?

6.Siwema ambaye aliwachanganya wasanii kibao mpaka kupelekea kumwiimba.

7.Mzee wa Umbo namba nane.

8.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.

9.Bushoke (Bwege).

10.Yule mzee wa mabinti wa kibongo

11. Na wengine wengi wa enzi hizo ningependa kujua wako wapi siku hizi?
TIME, its just a right definition of anything .Their music shelf life has gone
 
wapo mkuu ingawa wengine wamesha tangulia mbele ya haki kama akina Mez B,Misosi ameamua kumrudia Mola wake saa hizi yeye na ibada ibada na yeye,wengine wameamua tuu kuachana na mziki unajua mziki nao hasa huu wa bongo flava nao una umri wake kuna umri ukifika unakua kama una force tuu game unaamua kuwaachia akina Dogo janja,wengine ngada imewapoteza kwenye game kama akina Daz Baba akina O ten na wengine wengi kama akina Ray C,Rado nk Mungu Awaokoe na Atuepushe wote na hili janga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom