22nd July 2017 msanii wa kimataifa kutoka Tanzania bwana DP atapanda jukwaa moja na mkali wa rap, future kutoka marekani na cassper nyoves kutoka south Africa..... Tujiandae kwa show kali kutoka kwa hawa wakali wa hizi kazi..!!!
Go domo go....mwaka wako huu tena
Go domo go....mwaka wako huu tena