Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Wanabodi
Hapo awali kuliripotiwa habari za kuimba wimbo wa pamoja utakaowajumuisha wasanii wakuu wawili hapa nchini kwaajili ya kutoa "hamasa" kwa vijana wetu serengeti boys watakapoenda kutuwakilisha katika mashindano ya mpira wa miguu barani Africa kwa vijana chini ya miaka 17
Habari zilizopo sasa ni kwamba Alli Kiba na Diamond wamegoma kushiriki kuimba wimbo huo ili kuwajaza hamasa vijana wetu
Kiukweli hawa wasanii kitendo hiki si cha kiuzalendo kabisa!
kwani serengeti boys ni timu ya taifa na inahitaji kila mtanzania ajitoe kuisapo kwa namna yoyote ile!
moja kwa moja hawa wasanii wetu bado wanaendeshwa na bifu na timu zao zisizo hata na viwanja, "inasikitisha" kwa kweli
Watanzania tuungane pamoja tuwahamasishe vijana wetu watatutoa kimasomaso,
Shame on you Kiba
Shame on you Diamond