kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,069
- 4,895
Mziki wa Nigeria unizidi paa uku sie wetu bongo fleva tunaendekeza majungu na uteam kiba na mond ni wiki hii tu msanii na rapa wa Marekani katoa album yake itwayo Shine ndani yake zikiwepo nyimbo alizowashirikisha wasanii wa Nigeria Wiz kid, na Nyingine Olamide na Davido.
Leo imetoka list ya wasanii watakao perform kwenye tamasha kubwa liitwayo Made In America litakalo fanyika Philadelphia, U.S wasanii wa nigeria Wiz Kid n Tiwa savage wamefanikiwa kupata shavu la kuperform stage moja na wasanii kama Jay Z na J.Cole