Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Rapper wa kundi la zamani la muziki wa Hip Hop, Hard Blaster Crew ‘HBC’ Terry Fanani apelekwa sober house Ijumaa hii ili kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya.
Rapper Kalapina ambaye ni mmoja kati ya wanaharakati wa kupambana na Matumizi ya madawa ya kulevya, jana alipost picha akiwa sober house na kuandika:
Jana baada ya kumfikisha sober house mkongwe katika Hip Hop, Terry Fanani wa kundi la HBC tumuombee kwa Mungu amjaalie aweze kupona na kurudi katika hali yake kama zamani ni harakati umaarufu bila dawa za kulevya inawezekana.
Baada ya kumfikisha Terry Fanani Sober House jana muasisi wa kundi la Hard Blaster Crew ‘HBC’ ni harakati zinaendelea kuhakikisha ndugu zetu wanapona maradhi ya kuwa utegemezi dhidi ya dawa za kulevya mungu mkubwa na mjuzi na mwenye hekima #kalapinafoundation.
Fanani ni mmoja wa waasisi wa kundi la HBC ambalo lilimtoa pia Professor Jay enzi hizo akijiita Nigger Jay.