Diamond ajaza nyomi la watu Zambia

Habari ili iwe habari jukwaani
1.kichwa cha habari
2.hoja husika
3.picha ya kusukuma hoja


Letaaa pichaaa
 
Si uweke picha bana, hii maneno fake fake haitakiwi, halafu nasikia perfume ya dogo ukujipulizia mpaka nyuki wanakufuata!!!!
 
Diamond ameweka historia ya kuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kujaza uwanja wa Golf uliopo kwenye mji wa kitalii wa livingdtone Zambia
1504302619266895212.jpg
1504306276775272026.jpg
1504151388393193336.jpg

Diamond pia atatumbuiza kwenye mji mkuu wa Lusaka baadae mwaka huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom