Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Wasafidotcom hongereni sana kwa ubunifu na kwa huduma zenu ila sometimes mnaboa.Process ya mpaka kuupata wimbo inakatisha sana tamaa hata kama tuna nia ya kusupport..
Punguzeni mlolongo ni mrefu sana.mbona ile site pinzani iko short sana..angalau uchague wimbo halafu inakupeleka moja kwamoja kama ni kwenye m-pesa au tigo pesa n.k.maana nyimbo hatuzipati kwenye site zingine mmezi rock.daah!!..
Punguzeni process tununue..Ila mimi siyo heta..karibuni wadau mtoe kero zenu labda watasikia..