Serikali kumrudisha uraiani??? Kwani SerikalI ndio iliyometeka?Msanii Roma akihojiwa leo na clouds tv ameishukuru serikali kwa kunusuru maisha yake na kumrudisha uraiani.
Amekuwa honest..Pana tatizo hapa sio bure yani Roma ni kama ametoka kwenye ubatizo kabadilika sio yule hipop tena
Akihojiwa na watangazaji wa clouds fm kuhusu anapeleka wapi shukrani zake kuhusiana na tukio la kutekwa kwake.
Ameongea kwa msisitizo kwa kuishukuru serikali na vyombo vya dola kwa jinsi walivyoshughulikia suala lililomkuta.
NADHANI ROMA ANA SIRI NZITO SANA DHIDI YA WABAYA WA SERIKALI
Toka zake mnafikiki uyo,hana lolote anadanganya watanzania,Hakuna cha rap hapo ni taharabu tu,Kashindwa kusema alipelekwa wapi na kafanywa nini?kama kufa kupo tu hata usipokufa leo utakufa kesho.Akihojiwa na watangazaji wa clouds fm kuhusu anapeleka wapi shukrani zake kuhusiana na tukio la kutekwa kwake.
Ameongea kwa msisitizo kwa kuishukuru serikali na vyombo vya dola kwa jinsi walivyoshughulikia suala lililomkuta.
NADHANI ROMA ANA SIRI NZITO SANA DHIDI YA WABAYA WA SERIKALI
behind of scene.. imefunikwa na pazia jeusi na zitoAkihojiwa na watangazaji wa clouds fm kuhusu anapeleka wapi shukrani zake kuhusiana na tukio la kutekwa kwake.
Ameongea kwa msisitizo kwa kuishukuru serikali na vyombo vya dola kwa jinsi walivyoshughulikia suala lililomkuta.
NADHANI ROMA ANA SIRI NZITO SANA DHIDI YA WABAYA WA SERIKALI