Mbasha: Gwajima ana roho mbaya sana na roho ya uharibifu, hafai

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,941
19,130
Mwimbaji wa Injili aliyekorofishana na mkewe Emmanuel Mbasha amemkandia mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima ambaye ndiye anadaiwa kuvunja ndoa ya muimbaji huyo kuwa ni mtu mwenye roho mbaya sana na roho ya uharibifu
pia amethibitisha kuwa mtoto wa mwisho wa Flora siyo wa kwake kitu amabacho kinapigia mstari kuwa Flora alizaa na mchungaji huyo kwani ndiye alikuwa nae benet

bashite achana na gwajima, hautamuweza. fanya mambo mengine kwa yaliyotokea tu hadi leo kati yako na yeye yamedhihirisha hautamuweza, na ungefunga mdomo usingeaibika hivi. binafsi nilikuwa sijui kama una vyeti vya kufoji hadi ulipomchokoza gwajima. achana naye.
Embu vaa viatu vya huyo Mbasha...kwan hayo mambo si yalikuepo kabla ya hio ishu ya ngada?!..
Yey anaongelea gwajima na aliekua mkewe na haongelei ya gwajima na makonda..
Unrelated issues..wabongo sijui tukoje.
 
Mbasha kama ana haki yeyote alitakiwa aende polisi, au aende kwa wachungaji wa kipentecost kuna umoja wao kabisa na viongozi wao akashitaki ili wamwite gwajima. yeye anaongea hivyo lakini Flora naye ana ya kwake. kuna fununu kuwa mbasha naye alikuwa muuza bucha kabla na alikuwa akilala na panga akimtishia flora kuwa anaijua kazi yake anaweza kumsharanga mapanga. pia kuna tetesi zililetwa humu kuwa mlango wa nyuma ulikuwa unaombwa. achilia mbali ile kesi ya kubaka ambayo mbasha alisikika kabisa akimuomba msamaha yule shemeji aliyesemekana alilala naye mara mbili. flora alikimbilia akawa analala guest/hotelini wiki mbili au tatu, alikimbia nini?

imagine upo katika mazingira kama hayo, na labda flora ameona ametoka nje ya ndoa na mume wake amejua, au hatujui undani wao pengine walishafumaniana au walikuwa na ugomvi ambao flora alijua akija kurudi tu home mbasha anaweza kumcharanga mapanga. je? flora kama mwanamke wa kawaida (nasema wa kawaida kwasababu sijawahi kumkubali kama kioo cha kuigwa hata kwenye uimbaji wake tu) angerudi home? wamekaa wametengana muda wote huo bila tendo la ndoa labda kwasababu aliona wametengana kila mtu akaamua kuendelea na safari yake...

napinga kabisa kitendo cha flora na mbasha kutengana, sio suala la kimungu kuvunja ndoa. pia napinga kabisa kama kuna ukweli wowote kuwa gwajima alichangia lolote....lakini lolote hilo haliletwi hadharani, linasemwa tu kimyakimya, yeye mbasha si afunguke?kwani kama anamuogopa gwajima atamdhuru kama huwa anadhuru watu endapo atamwanika gwajima, hivi ugomvi kati yake na gwajima tangu umeanza kama angekuwa wa kudhurika si angeshadhurika? aweke wazi ili tujue pia kama gwajima alikosea wapi, aeleze wazi ili tujue. kufichaficha huko kunafanya story zake kuwa hazina ukweli.

pia, suala la kwamba labda flora anngekuwa amelala na gwajima morogoro, inasemekana Grace mke wa gwajima huwa anasafiri na gwajima sasa sijui alikuwa akilala na wanawake wote wawili au ilikuwaje. wekeni mambo wazi ili mwenye kosa ajulikane. all in all, kama anayoyasema mbasha ni ya kweli, Mungu ndiye mwamuzi wa yote. na yeye mbasha pia kama mwanaume ajiulize kwanini mke wake kipenzi ameng'ang'ana katu kutorudiana naye milele hadi anafunga ndoa na mtu mwingine? na je, yule mtoto ni wa nani? atuambie kama ni wa gwajima au wa mtu mwingine. akisema wa gwajima achukuliwe haraka akapimwe DNA ili ubishi uishe.
 
Naona Bashite ameamua kutoka kivingine baada ya Clouds na single yake ya Gwajima kuzaa na Kichaa kubuma mchana kweupe.

Huyu Emmanuel Mbasha atulie tu, asitake kutumiwa na kina Bashite, yatamtokea puani.
yasije kuwepo mambo mengi yamehifadhiwa asiaibishwe, akamwaga mboga wenzie wakamwaga ugali.
 
bashite achana na gwajima, hautamuweza. fanya mambo mengine kwa yaliyotokea tu hadi leo kati yako na yeye yamedhihirisha hautamuweza, na ungefunga mdomo usingeaibika hivi. binafsi nilikuwa sijui kama una vyeti vya kufoji hadi ulipomchokoza gwajima. achana naye.
Bashite has nothing to do with it
 
Embu vaa viatu vya huyo Mbasha...kwan hayo mambo si yalikuepo kabla ya hio ishu ya ngada?!..
Yey anaongelea gwajima na aliekua mkewe na haongelei ya gwajima na makonda..
Unrelated issues..wabongo sijui tukoje.
hongera
 
Ila muhubiri wa injili haifai kuhisiwa kuwa na tabia za hv watu wamejitoa kwa hali na mali wakiamini kuwa nafsi zao zina uhakika na uzima wa milele alafu kiongoz unakuwa na kashfa za hv alafu watu wanaona kawaida tu injili sio siasa bn inafaa mtu uwe msafi kuliko usafi uwezavyo kuwa. Mbaya sanaaaaa
 
Mnamkorofisha karibia na siku ya jumapili, sawa atakuja msije mkapotea njia tena
 
Ila muhubiri wa injili haifai kuhisiwa kuwa na tabia za hv watu wamejitoa kwa hali na mali wakiamini kuwa nafsi zao zina uhakika na uzima wa milele alafu kiongoz unakuwa na kashfa za hv alafu watu wanaona kawaida tu injili sio siasa bn inafaa mtu uwe msafi kuliko usafi uwezavyo kuwa. Mbaya sanaaaaa
We dini gan muzee, hv unajua yanayosemwa kwa mapapa na mapadri kuhusu kulawiti watoto wadogo na ushoga kati yao kwa wao , au muzee unafuatilia habari za upande mmoja tu. Usicomment vitu usivovijua.
Hv unajua kwann papa benedict alijiuzulu na kwann huyu wa sasa ameoneshwa nia ya yeye kujiuzulu. . Au hayo huyajui unakesha na ya Gwajima tu. . !
 
  • Thanks
Reactions: THT
Embu vaa viatu vya huyo Mbasha...kwan hayo mambo si yalikuepo kabla ya hio ishu ya ngada?!..
Yey anaongelea gwajima na aliekua mkewe na haongelei ya gwajima na makonda..
Unrelated issues..wabongo sijui tukoje.
Viatu vya Mbasha havivaliki yeye alikua wapi kwenda kwenye media Ku expose hayo anayoyaita roho mbaya kwa kipindi chote hiki? Huyu mpuuzi nae anatumiwa na wajinga wachache ili watanzania wamuonee huruma
Sasa afahamu "udhaifu wa akili ya mume ni hasara kwa moyo wake, bora Florah alijiamlia kwenda mbele kutafuta wanaume kuliko kubaki na huyu kupe"
 
We dini gan muzee, hv unajua yanayosemwa kwa mapapa na mapadri kuhusu kulawiti watoto wadogo na ushoga kati yao kwa wao , au muzee unafuatilia habari za upande mmoja tu. Usicomment vitu usivovijua.
Hv unajua kwann papa benedict alijiuzulu na kwann huyu wa sasa ameoneshwa nia ya yeye kujiuzulu. . Au hayo huyajui unakesha na ya Gwajima tu. . !
Hapa swala sii dini gani, ni kwamba kiongozi wa nafsi za watu anapaswa kuwa aje? Mm nafikiri unatetea mtu bila kujali Mungu anataka nn. Lakini ungejua sheria za ukuwani ktk biblia Gwajima hasingefaa kuwa kuwani kwa kashfa zake hizi. Kwa haraka haraka naona Mathayo 24: ikitimia na watu hawaoni.
 
Hata hivi angalia wameachana lini na mkewe,kwann hakusemmma chochote muda wote na kwanini leo?=...
 
Back
Top Bottom