TID: Huwa nahonga fedha ili muziki wangu upigwe redioni, watu wamenitenga isipokuwa Makonda

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,984
19,285
Msanii mkongwe kwenye gemu la bongo fleva amedai siku hizi inabidi uhonge fedha ili muziki wake upigwe redioni na yeye pia inabidi afanye hivyo
Amesema kuna nyimbo mbovu sana siku hizi ambazo zinapigwa redioni na kwenye Tv hadi zinapendwa kwa kuwa Ma DJ wanahongwa
Pia sasa hivi amedai watu wengi wamemtenga baada ya kuachana na madawa ya kulevya na kuwa karibu na Makonda


 
Watangazaji, madj na producer wa vipindi vya burudani hawana utu siku zote wanawaza pesa ndio maana manyimbo famba yanapewa airtime sana
Dawa nyimbo unayoipenda ni kuidownload usisubiri uione kwenye tv au redion
 
leo ndio kanifumbua macho kumbe hua wanahonga wapate airtime,

Maana kuna nyimbo zingine ukisikia mpk wamuonea huruma msanii ile pesa yake aliyotumia kurecord ni bora angewekeza kwenye kilimo au ufugaji.
 
Sasa unapokaa na mavi unatarajia nini si kunuka afu ukishanuka unamlaumu nani
 
Back
Top Bottom