Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

kwa kweli bila kupepesa macho kwa Tanzania msanii wa kike akuwahi kutokea sijaona alofika level za ray-c huyu Dada alikuwa kafiti kila idara alikuwa anajua ukuutumia mwili wake macho kama anakuita...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii kataeni kubalini ila GENTAMYCINE sijawahi kukosea kuanzia Timu ninayoishabikia bora ya FC Barcelona, Mchezaji ninayemshabikia Lionel Messi, Mtandao bora ninaoupenda kuliko yote wa JamiiForums...
11 Reactions
246 Replies
76K Views
Msanii Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea...
3 Reactions
77 Replies
16K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Yule nigga kutoka state chris brown amedai anamzimikia kinoma noma mwana dada jlo na anapenda awe mpenz wake...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jokate Mwegelo amesema kuwa, atahakikisha anapambana vilivyo kwa ajili ya kutetea haki ya mwanamke pamoja na watoto kwa ujumla. Akizungumza na Star Mix, Jokate...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mrembo mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ ameendelea ‘ku-shine’, safari hii zimevuja picha mpya akiwa bafuni na mpenzi wake aitwaye Bakari Kila. Chanzo makini...
6 Reactions
196 Replies
42K Views
=> "Nilipofika kwa marehemu 'Kanumba' nilimkuta yupo kwenye dressing table, nilikaa kitandani kwa kuwa hapa kuwa na sehemu ya kukaa"- Lulu => "Nilikuwa nataka kutoka ila marehemu 'Kanumba'...
15 Reactions
595 Replies
86K Views
Msanii wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameeleza vipaumbele vyake nane iwapo siku moja atakuwa Rais wa nchi. 1. Kikaoo kikubwa cha serikali yangu sio baraza la mawaziri itakuwa mkutano mkuu wa...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi
1 Reactions
49 Replies
11K Views
Mtangazaji maarufu wa Classic 105 ya nchini Kenya, Maina Kageni amefunguka kwa kusema kuwa kuna msanii mmoja wa Tanzania analipwa na mtandao wa simu milioni 20 kwa siku kutokana na nyimbo zake...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
Msanii muziki wa Bongo Flava, Aslay amesema uwepo wa familia nyuma yake kunampa hasira ya kufanya muziki mzuri. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Natamba’ ameiambia XXL ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana jamvi naomba tuweke michango yetu hapa..kwayeyote mwenye uelewa kuhusu hili jambo..Kama mambo tunayoyasikia ni ya kweli hivi inawezekanaje mtu unaimba nyimbo halafu unakosa haki ya kuzitumia...
4 Reactions
82 Replies
13K Views
Oktoba 21,1980 alizaliwa mwanamuziki ambaye ni mmoja wa waasisi wa bongo fleva, Juma Kasim 'Nature'. Juma Nature ni mwanamziki bora sana wa wakati wake ambaye anapendwa kwa wapenzi wote wa muziki...
3 Reactions
28 Replies
8K Views
Aliyekuwa rais wa Marekani George Bush ameomba msamaha kwa dhiki aliyosababisha baada ya muigizaji mmoja kumtuhumu wa kumnyanyasa kijinsia. Heather Lind alisema kuwa rais huyo wa zamani mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Dow’ amesema mkataba wake na label hiyo ulimalizika na hakuongeza tena, hivyo hivi sasa anaendelea na watu waliokuwa akifanya nao...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
HUKU wasanii mbalimbali wakimtaka rapa mkali Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya, chipukizi anayefanya poa kwenye gemu la muziki, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ naye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
I don't care, i live my life and i do what i want to do. Jamani tusipangiane maisha yangu sio yenu picha zinazovuja ni zangu sio zenu sawa... Maana kuna watu wanaumia sana kuliko mie vepeee!.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Msanii Rosa Ree Jana ametoa wimbo mpya unaitwa Dow, wimbo huo kwa sasa umekuwa gumzo huko mitandaoni na Radio stations mbali mbali kitu kinachoonyesha kuwa habahatishi na amedhamiria kulibeba hili...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Harmonize asema hiyo siku alimkuta akiwa na Bodguard zake wawili akiwemo mmoja yule mmasai anaesemekana kuwa ni mpenzi wake wa zamani. Walisalimiana na Kupeana namba na baadaye yule mzungu ambaye...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari!… wazungu husema love is blind na huota popote hata majini,, nimetokea kumpenda huyu dada anaeigiza vichekesho vya mizengwe kiukweli kabisa yani kila kunapokucha anazidi kupendeza na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom