Tetesi: Masanja na mpoki wapatana rasmi

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
Habari za kunyapia zinadai wawili hao walikuwa hawapikiki sufuria moja ila walijikaza kidume kutoonesha hadharani hadi pale wenye mji walipowaita na kuyamaliza kwa amani,kwa sasa wanajipanga kuja na kipindi chao upya kwa mwendo kasi.
Hongera zao
tui.jpg
 
Hili lilikua linaonekana kama ukiwafuatilia kwenye social media ilionekana hawafagiliani na wale wengine wamepotea kabisa hawasikiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom